Nimechoka kunusa makalio ya watu

Nimechoka kunusa makalio ya watu

hehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehhehehehehehehehehehehehehhehheehheheheheheheheeeee nitonye u made my day.....pole sana!!!
ngoja tuone labda treni ya mwakyembe itapunguza hizo adha!!!
 
Last edited by a moderator:
Halafu ukute huyo jamaa jana yake asubuhi kala kumbikumbi,karanga,maharage kashushia na mbege,mchana kande za njugu na mayai ya kuchemsha,jioni kamalizia kwa bagia za dengu na mahindi ya kuchoma.utaipata khabari yake...
 
Ombea usikae na mmasai, huwa wanarusha mate kutoka upande wa pili then ule udenda unaangukia kwenye mapaja utakoma lazima umpe siti ya dirishani maana maugoro yao huwafanya wanatema mate kama nyoka kupitia ppengo lajino walilong'oa! Chezeya Akwii wewe! Huku zetako huku zemasai!

teh teh unataka vita na hawa yero eeh?
 
pole mkuu nitonye, nahisi hiyo sura ilikuwa marambili ya hapo!??
 
Huu usafiri wa daladala ni too much usumbufu, yaani mtu unakaa kwenye siti halafu yule aliyesimama anakuletea makalio yake karibu na pua kwa kweli inakera sana
ila ni kweli inakera sana
jamani nitonye pole sasa ukikutana na zile zenye kunuka kama ng'onda si utazimia
hizo ndo daladala ukitaka usipate tabui panda treni au tax au nunua usafiri wako kabisa
usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
ila kwenye daladala kuna adha nyingi mno, kuna siku nishwahi kuwekwa mtu kati na mdada mmoja hivi yaani alikua tunaelekeana, basi kwenye bumps yule dada si alikua akinilalia maksudi kabisa ili chakula ya mtoto iwe inanichomachoma kifuani kwangu...

lolz..duh!!! haya sema yote leo!!
 
lolz..duh!!! haya sema yote leo!!

hahaha...muache kutuchoma na hizo pistol zenu jamani, na siye tukitoa makombora yetu kutakua hakukaliki walah tena...
anyway, hujambo mpenzi!
 
mie mwenyewe nina private car mbili lakini zote nimepaki baada ya kuona kuwa zinanidumaza
hivyo nami nakomaa kwenye madaladala kila mara,
twende sawa tu tutafika kwa kuwa kwenye hayo madaladala tunakaa imezidi sana ni masaa matatu tu.
hivyo nitonye komaa kiume hivyo hivyo.

Huwezi kutumia private car kila siku, daladala ndio mkombozi wa walio wengi mama
 
Last edited by a moderator:
mie mwenyewe nina private car mbili lakini zote nimepaki baada ya kuona kuwa zinanidumaza
hivyo nami nakomaa kwenye madaladala kila mara,
twende sawa tu tutafika kwa kuwa kwenye hayo madaladala tunakaa imezidi sana ni masaa matatu tu.
hivyo nitonye komaa kiume hivyo hivyo.
niazime moja ex wangu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani umemwambia sweetlady? Amesemaje? Labda tuanzie hapo. Maana "mkeo" angekushauri vizuri zaidi. Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom