Huu usafiri wa daladala ni too much usumbufu, yaani mtu unakaa kwenye siti halafu yule aliyesimama anakuletea makalio yake karibu na pua kwa kweli inakera sana

nunua gari lako..mi napenda sana hiyo hali
eeeeeennnhhhh!ikawaje sasa....maliziaila kwenye daladala kuna adha nyingi mno, kuna siku nishwahi kuwekwa mtu kati na mdada mmoja hivi yaani alikua tunaelekeana, basi kwenye bumps yule dada si alikua akinilalia maksudi kabisa ili chakula ya mtoto iwe inanichomachoma kifuani kwangu...
ndo maana napenda siti za dirishani