Nimechoka kununua Pombe, nifundishe jinsi ya kuitengeneza mwenyewe nyumbani. Mbona mkate wanaweza?!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,
Mwenzenu nimefuria, kwahiyo sina ujanja zaidi ya kuwa creative!
Kwenye jukwaa la mapishi, naona watu wakifundishana jinsi ya kutengeneza mkate n.k., naamini same formulas zinaweza kuwa applied kwenye pombe: ujitengenezee mwenyewe kuepusha gharama za kununua. Naomba anayejua Basics anifundishe ili nijitengenezee mwenyewe niendelee kuwa high kuepusha stress ya kukoswa hela. Ameen,
 
Mkuu hata pombe unatengeneza tu Sema sasa namna ya kuifanya iwe na kilevi cha kiasi flani ndo Majanga. YouTube video zipo
 
1.Chukua sukari kilo 1
2.Changanya kwenye maji lita 5
3.Kisha tia vijiko 4 vidogo vya hamira
4.Weka mchanganyiko wako kwenye chombo kilichozibwa
5.Acha mchanganyiko wako utulie kwa muda wa siku 3 (au zaidi ukipenda)
6.Sasa pombe imeshaiva na ipo tayari kunywewa
7.Waweza kunywa huku ukiisindikiza na nyama laini ya kitimoto
8.Kumbuka unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako
9.Isinywewe na walio chini ya miaka 18
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom