😀😀Boyeli nae sifurahii uchezaji wake
Yule hawezi kupata hata on target 1 tukicheza na Ahly au Far Rabat
Kwa kifupi Yanga tumepatwa mwaka huu.Boyeli nae sifurahii uchezaji wake
Yule hawezi kupata hata on target 1 tukicheza na Ahly au Far Rabat
Prophet Dube Kashindikana
Ngoja tuoneKwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube
Me ni shabiki mvumilivu mno
Dube havumiliki
Ni mchezaji wa kawaida mno
Dube hawezi kutusaidia mechi ya Ahly, FAR Rabat n. K
Kwa striker huyu tumekwisha wakuu
View attachment 3499532
Ulimwandikia na uzi kabisa wa kumsifia kuwa ni mchezaji wa kuji position ana fit kwenye mfumo huku ukijipa misifa kwa wewe ni kocha mzoefu unajua sana mpira na kumjua mchezaji anaye kupa vitu vizuri uwanjani.Huyu ni mchezaji wa kawaida mno
Nimeomba radhi mkuuUlimwandikia na uzi kabisa wa kumsifia kuwa ni mchezaji wa kuji position ana fit kwenye mfumo huku ukijipa misifa kwa wewe ni kocha mzoefu unajua sana mpira na kumjua mchezaji anaye kupa vitu vizuri uwanjani.
Musonda anaweza kucheza mechi kubwa za kimataifa. Hana hofu.Mlimuacha Musonda kwa mbwembwe kazi mnayo
Sawa ila ukiachana na Dube bado timu ina ugonjwa mkubwa sana timu ikiwa haina mpira. Kuna mianya mingi sana inaachwa, timu inapitika kirahisi mno. Bora hata kwenye ulinzi tungekuwa solid ingetumika mbinu ya kushikilia bomba kisha kutumia counter attack.Nimeomba radhi mkuu
Yanga bingwa
Kweli nadhani coach a opt kumtumia kiungo mkabaji asilia kama Balla Conte.Sawa ila ukiachana na Dube bado timu ina ugonjwa mkubwa sana timu ikiwa haina mpira. Kuna mianya mingi sana inaachwa, timu inapitika kirahisi mno. Bora hata kwenye ulinzi tungekuwa solid ingetumika mbinu ya kushikilia bomba kisha kutumia counter attack.