Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
mara unataka mke mara hutaki hueleweki unataka nini?sasa tukusaidieje?Mkuu nataka mke ndio bora,sio mtu wa kujishikiza, na magonjwa haya, si nitashindwa kufanya kazi, kila siku UTI, sitaki
Kuna kipindi napatikana, kuna kipindi sipatikani, maoni yakokama unapatikana wkend nicheki mimi mwenyewe sitaki mtu wa kila saa mwanaume majukumu bana
Sitafuti mke, ila naomba ushauri, nikiwa naye ntaishije, au atanichukuliaje, muda mwingi niko mbali naye
Nasafiri mara kwa maraUko mbali naye una maanisha mchana nyakati za kutafuta ridhiki au huwa una safiri mara kwa mara.....!!??
haina shida tena wewe ndo mzuri sio kugandana kila siku hadi mnachokanaKuna kipindi napatikana, kuna kipindi sipatikani, maoni yako
Nasafiri mara kwa mara
mara unataka mke mara hutaki hueleweki unataka nini?sasa tukusaidieje?
Wakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali
sasa itakuwa hv hadi liniKwa hali ya mahusiano ya sasa hivi na uaminifu ulivyokuwa adimu nakushauri kwa utulivu wa moyo wako na kwa usalama wa afya yako...na kwa maendeleo yako binafsi bila ya kusahau amani ya moyo wako....nakushauri endelea kuwa PEKE YAKO....kwani ni kheri nusu shari kuliko shari kamili......
ahahaa naona unanipeperushia ndege wangu.mbona watu wanabeba box ulaya na wake zao wapo bongo wametulia?Nakupongeza mpwa kwa kuziona fursa na kuzifanyia kazi.....hakika uoga wako ndio umasikini wako....
Hapa tunazungumzia mke, sio ishu nyingineHata kama hutulii nyumbani kwani huko unakosafiri hakuna wanadamu wa kike wa kuongea nao na kuwaeleza tatizo lako.
wanaume siku hizi mna matatizo gani? mnalilia tu!Aibu hii
sasa itakuwa hv hadi lini
Nakubali, sasa unanishaurijeahahaa naona unanipeperushia ndege wangu.mbona watu wanabeba box ulaya na wake zao wapo bongo wametulia?
Ok. Sasa cha kufanya hamia Kigamboni. Yani pale kivukoni kuna watatoto wakali wa kila type.... Yani we ukipanda kivuko tu ni full kujichanganya. So ukipanda asubuhi ni kujichanganya, ukipanda mchana ni kujichanganya, ukipanda jioni ni kujichanganya. I believe ukipanda kivuko kwa mwezi tu utakuwa umeshapata konection na watoto wa kali zaidi ya hamsini... Hapo ushindwe mwenyewe tu.Hapana, nipo vizuri tu, nimeeleza tatizo tayari hapo juu
Mkuu na haya magonjwaHadi wewe utakapoamua kuoa kutoka moyoni na sio kwa sababu ya upweke bali kwa kumpata yule ambaye ataushibisha moyo wako kwa furaha na amani na wewe mwenyewe utakapo andaa mazingira ya kuishi na mke....
ahahaa naona unanipeperushia ndege wangu.mbona watu wanabeba box ulaya na wake zao wapo bongo wametulia?
Kuna baadhi ya mambo lazima uwe makini wewe mwenyewe kwanza kabla hujaomba ushauri,kwa swali lako tu inaonesha bado hujafanya utafiti wa kina kuhusu aina ya mwenza unaye muhitaji.Wakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali
njoo kwangu na mie pia nimechoka kuishi mwenyewe hata mie nabanwa ....Wakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali