Nimechoka kuishi Bongo

hahaa, the beatles😅

inshallah namimi nitafika nataka niwe youtuber kama KSI
Yaani vijana mna bahati sana kwa sasa maana unaweza kuwa na hela ndefu kama una simu tu 😄
Sisi tunawasaidia watoto wafikie malengo wanayotaka
Mwanangu mmoja anafanya Dropshipping nilim boost kidogo na sasa yuko vizuri ila mimi mzee sasa huwa naitikia tu sijui kinachoendelea 😄
Natoa ushauri na misaada kwa wanangu na kucheza na wajukuu tu
 
ungeainisha hyo kazi au biashara ambayo inakupa kipato kizuri hivyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…