Ingia hapa tiba ya kitunguu saumuHabarini ndugu zangu natumaini ni wazima.....Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.
Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halaf naota nafanya na wanawake wenzangu.
Nicheck pm Kama unamuamini MunguHabarini ndugu zangu natumaini ni wazima.....Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.
Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halaf naota nafanya na wanawake wenzangu.
hapana sina hata hayo mawazo....Hua inanitokea sana mara nyingine wanaume mara nyingine wanawakepole sana labda huwa unawaza wanawake wenzako
huwa sitazami pornUtakuwa unatazama sana porno hasa zile za lesbian..pengine..!
nilale navyo kivipi chini ya mto au? mwongozo tafadhaliAlale na kipande cha ndimu na kitunguu saumu hiyo hali itatoweka