Nimechezea za mbavu leo

Nimechezea za mbavu leo

Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.

Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..

Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea..
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana..
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia apo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love#View attachment 2517801
Hivi tufungue shule za kutongoza au?
Unamtongozaje mwanamke dry kiasi kile?
Njooni tuwafunze nyie wavulana fambaf zennyu
 
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.

Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..

Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.

Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea.

Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana.

Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia hapo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love
View attachment 2517801View attachment 2517802
View attachment 2517801View attachment 2517800View attachment 2517801View attachment 2517802
Vitoto vya siku hizi yaani kinamtongoza mtu kwa maneno ukute hata mia hakijawi kumpa .

Yaani purukushani kengine kamenaswa bafuni kanapiga punyeto .

Kengine eti kanauliza google ni vipi kampende mwanamke .

Yaani ni vichekesho sana nilianza haya mambo na miaka kumi ila sikuwa mburula kama vitoto vya leo
 
Hawezi kukubaliwa na siku akipewa ajue kaonewa huruma sio kwamba dada anamtaka
Mwambie ukweli alipokesea bhana😂😂😂
Utatongozaje dry kiasi kile?

Unaonaje angemwalika dina na akampeleka sehemu tulivu.
Mtoto ale vitu vitamu.
Anywe atakacho akichangamka moyo naye aanze kuchombeza...unafikiri angejibiwa dry kiasi kile?

Mzigua90 hebu sema😁😁
 
Mimi huwa naamini kutongoza mtoto wa kike hutakiwi kutumia nguvu kubwa.
Hasa katika zama hizi.
 
Mwambie ukweli alipokesea bhana
Utatongozaje dry kiasi kile?

Unaonaje angemwalika dina na akampeleka sehemu tulivu.
Mtoto ale vitu vitamu.
Anywe atakacho akichangamka moyo naye aanze kuchombeza...unafikiri angejibiwa dry kiasi kile?

Mzigua90 hebu sema
Majibu kapewa ya kikatili sana angefanya hayo ya chini angekataliwa kweli ila sio kwa tone hiyo

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom