Nimechezea za mbavu leo

Nimechezea za mbavu leo

Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.

Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..

Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea..
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana..
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia apo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love#View attachment 2517801
Kama mtu mmoja alietangulia kukuuliza na mimi narudia, hivi wewe una umri gani? Unamtaka demu awe girlfriend na unamuita mama angu? are you serious? Kwa majina yote unamuita mama angu! Pole bro!
 
Kama mtu mmoja alietangulia kukuuliza na mimi narudia, hivi wewe una umri gani? Unamtaka demu awe girlfriend na unamuita mama angu? are you serious? Kwa majina yote unamuita mama angu! Pole bro!
Kwamba Ni ajabu Sana..acha ushamba bro!
 
Dahsa mbona kaelekea kibra,huyo analika sema wewe unapanick sana we tulia tuu vunga kama wiko hv piga kimya,acha shobo kumtxt txt kila saa ni dalili ya uoga
Demu anataka kabisa Basi tu nltumia ubabe kumuapproach...Ila body language ake Ni green right!
 
Be a gent,, huo ni udhaifu umeuonyesha,, then approach nzuri ni ile ya kumake appointment, kutana nae mazingira tulivu then funguka kama mwanaume otherwise huna confindence ndo utaendelea kulia lia kwenye simu hivyo.
Ushauri mzuri shida manzi anachungwa flani hivi hayupo huru,nafkr kwao wanamfatlia nyendo zake kwa Siri hivyo Hana Uhuru kihisia
 
Unatongoza Unamuuliza Demu ,.... Hunitaki?.

 Unatongoza unamwambia Demu ... Vipi kuhusu ombi langu?.

Mbona Kila siku nawapa shule za Hawa viumbe lkn hamuelewi tuu?.

mwanamke yoyote anataka " attention and Desire " yaan mwanamke anataka wewe umtake .. na ukishaonyesha kumpa hivo viwili, Huwa Sasa Mpira ni wake , anakua na power ya kuexercise u feminine wake .....JAMBO AMBALO MTONGOZAJI HUTAKIWI KULIRUHUSU.

mwanamke unatakiwa umtongoze katika Angle ya kumfanya yeye akufukizie wewe ,yaan ajione akikukosa atakua kapoteza bahati.

nadhan inabidi nianze kuwaandilia Vi -PDF niwalete humu.
Vijana hamjui kutongoza kabisaaaaa .

Na mbaya zaidi, hujakulia kile kipindi chetu Cha kutokua na simu.

Demu anasoma shule ya Mkoa mwingine,
Unaandika Barua yenye Kurasa sita.

Hawa madogo wangeweza kweli??

Si Barua nzima ,ingejaa maswali utadhani unafanya post internship examination?.

WANAWAKE HAWAPENDI MASWALI, NI NATURAL DEEPEST NEEDS YA WAO KUTOTAKA MASWALI. IN FACT WANADAM TUMEUMBWA, KUTOKUTAKA MASWALI .
Lete PDF mkuu😃
 
Boresha mbinu dem simple uyo anakukataa ivo na usiku mwema anakutakia, bado wako uyo
 
mteme tu hana kipya hiyo, tafuta rafiki yake uishi hapo

Alafu lete mrejesho
 
Boresha mbinu dem simple uyo anakukataa ivo na usiku mwema anakutakia, bado wako uyo

Amini ukimpanga vizuri hashindwi kuchomoka j/mos au pili ya weekend yoyote.
Hapo ndo nachekecha akili inafika mwisho...datz y nlimuliza kuwa ananihtaj au la lengo langu angekubali ingekuwa rahisa kumshawishi atoke apo kwao kuja gheto..nipee plan mkuu nrudi kwakeee
 
Unatongoza Unamuuliza Demu ,.... Hunitaki?.

 Unatongoza unamwambia Demu ... Vipi kuhusu ombi langu?.

Mbona Kila siku nawapa shule za Hawa viumbe lkn hamuelewi tuu?.

mwanamke yoyote anataka " attention and Desire " yaan mwanamke anataka wewe umtake .. na ukishaonyesha kumpa hivo viwili, Huwa Sasa Mpira ni wake , anakua na power ya kuexercise u feminine wake .....JAMBO AMBALO MTONGOZAJI HUTAKIWI KULIRUHUSU.

mwanamke unatakiwa umtongoze katika Angle ya kumfanya yeye akufukizie wewe ,yaan ajione akikukosa atakua kapoteza bahati.

nadhan inabidi nianze kuwaandilia Vi -PDF niwalete humu.
Vijana hamjui kutongoza kabisaaaaa .

Na mbaya zaidi, hujakulia kile kipindi chetu Cha kutokua na simu.

Demu anasoma shule ya Mkoa mwingine,
Unaandika Barua yenye Kurasa sita.

Hawa madogo wangeweza kweli??

Si Barua nzima ,ingejaa maswali utadhani unafanya post internship examination?.

WANAWAKE HAWAPENDI MASWALI, NI NATURAL DEEPEST NEEDS YA WAO KUTOTAKA MASWALI. IN FACT WANADAM TUMEUMBWA, KUTOKUTAKA MASWALI .
Huyo anatongoza demu kiume, wanawake wanataka attention. Alipaswa kumchezea mind games
 
Back
Top Bottom