Nimechezea za mbavu leo

Mi nahisi ulikua umeshampoteza hata kabla hamjaanza mazungumzo, ayo mazungumzo yanaonesha umempa nafasi kumpa hata kabla hamjafikia hapo.
Inaonesha hata kwenye mazungumzo yenu ya kabla ulikua unamuachia uongozi yeye, alafu wewe unakua unaburuzwa kwa kila anachokisema.
Mi naona uanzie hapo.
Uanze kuwa kiongozi wewe sio mwanamke. Mwanamke ndo inabidi akuombe penzi sio wewe. Kama Carlos The Jackal alivokuambia.

Pia hapo sijaona hata sehemu moja umemchombeza. Kuchombeza ni mnaongea vitu visivyo na mantiki vitu vya hisia. Mfano iyo text ya kwanza ungemjibu "naona unaniomba nafasi ya kuwa wangu"/ "mapema yote hii ushaanza kuwa na wivu?" au chochote kitachomrudishia swali yeye na sio kujibu kama vile ni swali la necta.

Achana na muvi za kikorea au izi za Hollywood zinazomuonesha mwanaume ana omba omba penzi.
 
💯🤝 lazima mwanamume ujue jinsi ya kubalance shobo kwa demu.
 
japo wamekuponda sana mwamba ila nikupe tano ya kujaribu. kutongoza ni kazi sana ..yani kumshawishi mtu mzima mpaka akubali sio ishu ndogo mjue
😄😄Iko wazi...Kuna watu hapa wanajifalagua wanayaweza Ila uliza kiatu..
 
Kitoto hivi ndo maana anakutolea nje. Tafuta hela.
 
Kwanza kayapange vyema mafaili kichwani kwako kisha mtokee tena
 
Mkuu, Ongeza darasa vijana wajifunze
 
Toa SoMo mkuu..
Utabalance vipi shobo kwa demu unaetaka upige show bila kuchukua muda...Mimi lengo langu ndani ya wiki moja au mbili Nile tunda kitakachofata ye ndo atachagua kuendlea au la...yaani kawaida angu demu nkishakula tu sihangaiki nae tn
 
Umenichekesha na umenigusa pale pale kwangu.

Mm ni kama sijawahi kutomgoza. Sometimes maji assess naona m Ina kama suwez kutongoza? Lkn nawala....?

Nafanya hivi nikimtaka Dem najipitisha, nikiona nimemteka kuptia maongez namvuta sehemu natumia weakness yake, kama ni mlevi namleta huko. Kama sio ni MTU wa Mungu nampeleka huko, kama ni mzuri sanaaaaa na watu wanamndea Sana sihangaiki kabisa.

Anyway Kuna wakati natumia potential yangu...

Uwongo mbalimbali kama kukuoa, kama ni mpenda pesa utakula lkn nilimaliza tu hata mia sijupi.

Kuna wakati nimishazoeleka Sana sehemu nahamia sehemu ingine ambako hawanifaham,

Jambo ambalo sitasahau enzi ya udsm room wote tuna madem na tuliwagonga Kwa pamoja Kila mtu kwenye bed lake, mwenye milio mingi ndio tylitunia kama rythym
 
Fact mkuu nmekuelewa Sana🔥🔥
 
Nakumbuka nimekula dem Kwa ahadi ya kumnunulia gari. Baadae nikalala mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…