Nimechezea za mbavu leo

Niliyoyaona makosa yako ni mengi
-kwanz unaharaka sana
-,unatumia hisia wakat wa kutongaza (labda umri wako mdogo)
-unaonyesha lengo lako mapema
-hutakiw kutuma sms ndefu/kujieleza kwing
-pima mazngr au akil ya mwanAmke wakt husik kabl ya kutoa ujumbe
-onyesha ujali sio kumpend san kam bwege
-umri wa huyo bint anatongozwa kwenye viband vya ice cream
-jitahd kucht kwa wasapu inAwez kukubeba kwakuw n fully options.
 
Huyu binti ana bahati mbaya sana maishani mwake kukutana na mtu kama wewe.
 
Hakika....sema skua na chakupoteza mkuu Ni either akubali au akatae Basi nifate mengine
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Huyu dogo hna sound kabisa. Labda ndio anaanza kujifunza maana anampa nafasi demu ya kumkataa kabisa.
 
Enzi zangu hapo nafunga simj huku nikiwa natabasamu.. Huyu ukikaza hachomoki,usiwe na papara.
 
Hebu chaji simu ulale, imebaki asilimia ndogo sana. Acha kusumbua watoto wa watu.

Ashakuambia hakutaki kwa sababu bado mdogo. Bado unakaza fuvu.

Na akukatae tu. Kama sasa hivi ana miaka 17 maybe, ukiwa mwaka wa pili maana yake ulianza kumtongoza na miaka 15 hivi.

Soma kwa bidii dogo.
 
Hako kadogo utakapata ukiendelea kukaza na kupunguza ubwege

Haina ya maswali yake somehow anaonekana kuelekea

Af kabananishe face to face uko kwenye simu chenga nyingi hivi vitoto

Ila umenifurahisha sana
, kila chatting ya mtu ya kutongoza inachekesha ikisomwa na mwingine


There is a chance, acha kumvizia vizia, mkabali, mbananishe uchochoron ile jion, ujishindie
 
japo wamekuponda sana mwamba ila nikupe tano ya kujaribu. kutongoza ni kazi sana ..yani kumshawishi mtu mzima mpaka akubali sio ishu ndogo mjue
 
Nilikua nauliza vile coz Sina Cha kupoteza...yaanii akatae akubali nothing bad datz y mkuu...

Ungekua huna cha kupoteza usingeleta huku jukwaani kuomba ushauri
Mnunulie pipi mwenzio mlambe pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…