accountant D
Member
- Dec 17, 2013
- 46
- 17
- Thread starter
-
- #21
Mie nakuombea uipate hii kazi, fundisho katika siku za usoni kama huifahamu ofisi itakayofanyika interview basi ni vizuri ukaenda kuitafuta siku mbili/tatu kabla ya interview ili kuepuka kuchelewa. Kila la heri.
Ha ha haa sometimes the shit happen!
Hata mimi nakumbuka niliitwa interview na recr agent saa nne asubuhi. Basi niliwah kuamka nikajiandaa na hali ya hewa ilikua shwari tu that day. nikakalkuleti kutoka hapa nilipo mpaka posta kny intavyuu ni mwendo wa nusu saa tu plus nusu saa ya kusubiri na kujiweka fit room temp jumla lisaa limoja. basi ivofika mbili na nusu nikajongea kituoni. hatua mbili tu halahaulaa! Mua sijui wapi ilipotokea! Kama ujuavyotena siku ya intavyuu mtu unapojikip smart. Nkasema ngoja nijibanze ikate, Mwee lisaa lizima mvua haiachi. Nikacheki na bodaboda, Kumbe zilishakatazwa mjini! Daaah nikajitosa kwenye daladala foleni gani! Yani nilikua kama chizi. Mpaka nafika intavyuu rum saa tano badala ya nne. Nikadiskwalifai palepale thoo nilijitetea sanaa.
Iliniuma!
Pole sana lakini siku nyingine jifunze kutafuta na kujua location kabla ya siku ya interview.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kama wasaili wanafahamu hali halisi ya mji wetu, kuchelewa dakika tano si kitu. Naamini utatakata...
Ni ustaarabu kupiga simu kama dk 10 kabla kusema 'im running a bit late, but i will be there in say 15 minutes?'
inakera sana, watu wamekaa wangeweza kusoma emails ama walau kwenda kunywa chai ama toilet halafu hautokei. Unakuwa umewapotezea muda watu wengi.
Teh me yalinikuta nilienda wrong place ingawa ni kampuni moja,.. uzuri HR wa pale ilibidi ampigie hr husika aliyeenda kuinterview kuwa kuna watu wawili wamekuja ofisi yao nyingine, tukaelekezwa mahali husika good thing nilikuta zamu yangu bado maana HR alisema walisahau kuniambia muda siku wamenipigia simu hali iliyopelekea nikaenda sehemu tofauti, yule mwenzangu kwenye simu aliambiwa asubuhi akakuta zamu ake imepitaa though walimruhusu ila hawakumpa kazi.
Kumbe ndio wewe niliokuelekeza siku ile!
apo ndo uelewe kua kupata kazi sio ujanja wako..ni Mumba wetu ndio anaetoa rizki...Weka ahadi na Muumba wako ukipata kazi hii mshahara wa mwanzo baada kutoa mahitaji yako ya lazima utawapa watoto mayatima...au utafuta mtu masikini mtaani ili aanzishe japo mradi wa kuuza vitumbua...au maandazi...au kumnunulia mlemavu baiskeli ya maringi matatu....pia usimsahau kumfurahisha mama yako na baba yako mshahara wa mwanzo...kama wan uwezo wanunulie japo nguo mpya...kama ni masikini watengenezee chumba wanacholala.....
Na mimi jinsi nisivyo muongeaji, huwa nawauliza google tu, ila sasa kuisoma hiyo ramani ni suala jingine kabisaa!pole sana ila usikate tamaa, ila nitakulaumu sana kama simu unayotumia ni smartphone au simu yoyote ambayo ina google map alafu ukapoteza muda mwingi kuzunguka au kuuliza watu wakati ramani unatembea nayo... ulimwengu wa sasa hata si wakuulizauliza hasa kwa sehemu zinazofahamika wakati location zipo kwa simu.
Na mimi jinsi nisivyo muongeaji, huwa nawauliza google tu, ila sasa kuisoma hiyo ramani ni suala jingine kabisaa!
Sio issue sana kama sehemu inajulikana kwenye ramani ukishapata njia unaweka my location mshale unakuonyesha unakoelekea ukitembea nao una move.