el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
- Thread starter
- #61
Kila kitu kinakuwa determined by time, hili swali kwanini alipochukua tuzo saba hamkulalamika mi naona huwa linatolewa na watu ambao hawapo smart mentally, Ni ukweli usiofichika kwamba Diamond alichukuwa tuzo 7 kwakuwa alifanya vizuri, bila kupata upinzani 2014, mwaka huu kuna watu wamejithidi kuamka lakini bado hawajamfikia diamond huo ni ukweli usiokuwa na ukakasi. Kwahiyo tulitegemea diamond aendelee kuongoza wengine ndo wafuate kwani uongooooooo! Ila kwakuwa kigezo ni kura let us zip our mouth kwasababu inawezekana kura zetu hazikutosha.
Tuhamie zetu Mtv.... Na kuleee Nigeria yaan leo nikishika Pc ntapiga kura hata milioni 10