Nimecheka sana....

Nimecheka sana....

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,064
Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na mtunzi wa cheketua...!!!!



ally kiba kuwa mtumbuizaji bora.. Mbele ya Diamond... Kitu ambacho hata kipofu anaona Diamond is the best performer...





ally kiba kuwa mwanamuziki bora wa kiume kwa mwaka 2014... !!!



Mbele ya mshindi wa tunzo za channel o 3 kwa mwaka 2014... Nominee wa Bet na Mtv, mwanamuziki aliyejaza kwenye maonyesho kushinda wote kwa mwaka 2014, mwanamuziki aliyechuma pesa nyingi zaidi mwaka 2014, Mwanamuziki aliyetajwa zaidi kwenye Vyombo vya Habari vya kimataifa na kitaifa, mwanamuziki anayeongoza kwa nyimbo zake kuangaliwa Youtube na vituo vya kitaifa na kimataifa, Mwanamuziki ambaye nyimbo zake (audio)zimekaa kwenye chati za kitaifa na kimataifa kushinda Yeyote yule Tanzania....







Narudia Tena nimechek sana yaani😂😂😂,, maana kuna vitu wanasema res ipsa yaani ... A thing speaks by itself...



hata kama kulazimisha kumpandisha mtu au kutengeneza equilibrium huku sasa kumezidi.... Hamna haja ya kulaumu mtu yeyote cuz ni desturi ya wabongo kulazimisha kumshusha aliye juu... Diamond mjanja ndo maana hakujisumbua kuja kudhalilishwa na yy ally kiba kwa aibu kuona atapokea haramu eti na yeye
hahaha....Noma sana
 
TZ Hata Kobe anaweza kulazimishwa kupanda juu ya MTI.....[Diamond ana ushawishi kwa Rais JK anaweza kuutumia kumshawishi afumue BASATA na kuiunda upya na baadhi ya mambo yawekwe. 1.Kura zichukue angalau 30% 2.Kuwepo na majaji wasomi wanaojua mziki na hawa watumike pia kupanga Categories. 3.Waongeze kipengele angalau cha msanii mkubwa Africa.

Hahah nimecheka sana
 
Acha upuuzi, mtumbuizaji bora(best performer) unadhani ni kukata mauno kama mwehu na kujaza watu kwa kuwanunua?

Pale ni lazima ujue kuimba live bila cd, sasa jiulize Dai kuimba live anajua ?

Nani kama Mwana

Aliwanunua una ushahidi??

Who alleges must prove...

Lets presume aliwanunua hapa bongo kwahiyo London, Dubai , Rwanda, Burundi kote alijaza mafuriko ya watu.. Je na huko alinunua??
 
mi nimecheka christian bella kutochukua hata moja pamoja na kubamba kote kule manake ana mawe kama matano yanatamba mpaka leo
 
Kwani kulikua kuna tuzo ya msanii aliyechuma pesa zaidi au tuzo ya msanii anayejaza mashabiki wengi kwenye tamasha?
 
Back
Top Bottom