....tena bila shida hawa watoto wangu wakuu wa mikoa na wadogozake wa wilaya wakishirikiana na baba yao mkubwa mkurugenzi, mitaa yote yakwangu, halafu najua unafahamu huyu Babu yangu tume ya uchaguzu ananipa ushirikano mkubwa sana, bila kuwasahau watemi wa mitaa hawa wavaa magwanda wazee wa vitu vyenye incha kali wao ndio kilakitu, mpaka hapo jirani yangu ✌na wenzake hawapati kitu. Karibu tena 2020.