We ni mpangaji au mwenye nyumba.Ila yote kheri maana sikumkuta bikra
Kama ni mpangaji KILA mtu na zamu yake haina makombo hio
We ni mpangaji au mwenye nyumba.Ila yote kheri maana sikumkuta bikra
Dah! yani huyu shingo namkubali sana ingawa nilishaweza zoezi la kutomshobokea so huwa hata siwazagi kula demu mwingineSema Cha kufanya nn mkuu,
Mwanafa alishaimba kua ukimegewa nawe tafta mnyonge wako ummegee.
Haipunguzi maumivu,
Ila inarudisha hadhi ya kiume.
Xmass ndefu Sana Hii.
Na Muda bado unao mkuu[emoji4]
Kweli kaka itakua kafuata dau.Pesa
Pesa
Pesa
HakikaMimi wangu nilimuacha kazurura wee leo ndo anataka anipe,sahv nko namsubir
Juzi niliomba kasema yuko busy,jana asubuh ananipigia sijui kaenda wapi nikasema sawa,karud mchana baadae akaingia job,usiku ananiambia anakuja maana haendi kusali usiku nikamwambia njoo hakuonekana na mimi sikuwa na haraka nae,leo anataka kujileta mwenyew
Hawa watu sio wa kuwatilia maanani sana
Tangaza ndoa na jirani yakeNiaje wadau
Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo
Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu.
Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko alipo raia anajisevia tu.
Nipeni mbinu ya kisasi gani kitumike baada ya hili tukio.
Hapo ndipo ulipofanya kosa la kiufundi,Dah! yani huyu shingo namkubali sana ingawa nilishaweza zoezi la kutomshobokea so huwa hata siwazagi kula demu mwingine
Sema nini aina noma fresh,kwanza kansaidia pesa yangu imekaaHapo ndipo ulipofanya kosa la kiufundi,
Mwanaume hutakiwi kukosa backup plan
Utakuja kufa mapema na stress siku Si zako[emoji848]
Hyo verse ya mwisho ni kweli km hauna hela mateso kujiingiza kwenye mapenziIna maana mwanamke wako hukumuandaa mapema xmas hii out ni wapi,mpk aanze omba omba out kwenye status?
[emoji3596]Kama bado una hustle achana na mapenzi
Pambana kwanza
Yaani yeye ndiye anayekukontroo,duuh! wadada wa hivyo,ikitokea umemuoa ndiyo wale akiulizwa 'humuogopi mumeo'?anajibu'nammudu ntaenda nikitaka we fanya yako.Mimi wangu nilimuacha kazurura wee leo ndo anataka anipe,sahv nko namsubir
Juzi niliomba kasema yuko busy,jana asubuh ananipigia sijui kaenda wapi nikasema sawa,karud mchana baadae akaingia job,usiku ananiambia anakuja maana haendi kusali usiku nikamwambia njoo hakuonekana na mimi sikuwa na haraka nae,leo anataka kujileta mwenyew
Hawa watu sio wa kuwatilia maanani sana
Inaongeza hadhi ya kiumeAchana na kupenda penda, utakufa mapema Kwa magonjwa nyemelezi.
Fungua phone book, tafuta namba ya Yule ulomuwekaga spare, Anza kumchatisha....akireplay....ah palipobaki malizia mwenyewe!
"Haipunguzi maumivu Ila inarejesha nguvu ya kiume/ kike"
Nilisahau ngoja nieditInaongeza hadhi ya kiume
Lesson ": LEARNED :"Kweli kaka,nakumbuka visent vyangu na tuzawadi nlivyompa majuzi kati najiona fala sana
Kisasi ni kumla ndogo tuNiaje wadau
Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo
Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu.
Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko alipo raia anajisevia tu.
Nipeni mbinu ya kisasi gani kitumike baada ya hili tukio.
Bora ulivyomwambia ukweli ni wazi yuko na kahabaUyo ni kahaba ana ombaje outing kwenye status??
Aina noma atajiletaga.Kisasi ni kumla ndogo tu