Nimechapiwa leo

Nimechapiwa leo

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,743
Reaction score
3,319
Niaje wadau

Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo

Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu.

Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko alipo raia anajisevia tu.

Nipeni mbinu ya kisasi gani kitumike baada ya hili tukio.
 
Achana na kupenda penda, utakufa mapema Kwa magonjwa nyemelezi.
Fungua phone book, tafuta namba ya Yule ulomuwekaga spare, Anza kumchatisha....akireplay....ah palipobaki malizia mwenyewe!
"Haipunguzi maumivu Ila inaongeza hadhi ya kiume/ kike"
 
Achana na kupenda penda, utakufa mapema Kwa magonjwa nyemelezi.
Fungua phone book, tafuta namba ya Yule ulomuwekaga spare, Anza kumchatisha....akireplay....ah palipobaki malizia mwenyewe!
"Haipunguzi maumivu Ila inarejesha nguvu ya kiume/ kike"
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]
 
Sema Nini mkuu, jikaze kiume
Kuchapiwa siku za sikukuu kawaida,
Hata mwamba mmoja alishaanzisha Uzi akatabiri Hilo, Sijui nani yule nmemsahau jina
Ushindani wa namba unakua mkubwa sana eeh!?
 
From the streets did she emerge and to the streets she will return
And I say into you

"She is for the streets"
So do not worry whe she returns from where she came
 
Niaje wadau

Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo

Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu.

Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko alipo raia anajisevia tu.

Nipeni mbinu ya kisasi gani kitumike baada ya hili tukio.
Ina maana mwanamke wako hukumuandaa mapema xmas hii out ni wapi,mpk aanze omba omba out kwenye status?


⬇️Kama bado una hustle achana na mapenzi
Pambana kwanza
 
Mimi wangu nilimuacha kazurura wee leo ndo anataka anipe,sahv nko namsubir

Juzi niliomba kasema yuko busy,jana asubuh ananipigia sijui kaenda wapi nikasema sawa,karud mchana baadae akaingia job,usiku ananiambia anakuja maana haendi kusali usiku nikamwambia njoo hakuonekana na mimi sikuwa na haraka nae,leo anataka kujileta mwenyew

Hawa watu sio wa kuwatilia maanani sana
 
Ina maana mwanamke wako hukumuandaa mapema xmas hii out ni wapi,mpk aanze omba omba out kwenye status?


[emoji3596]Kama bado una hustle achana na mapenzi
Pambana kwanza
Kweli kaka,hili nalo lakutazamwa kabisa.

Ngoja nipige kimya tu nijitafute.
 
Back
Top Bottom