Weeeee mie sina moyo wa kupenda ile ya mwaka 45. sasa hivi full usanii, ujinga kwenda kurudi mbona full ujanja
ah mie bwana kabila muhimu wee kama unaona mambo ya zamani sawa hilo lako
haya bac mm na ww kabila moja unasemaje?
haya bac mm na ww kabila moja unasemaje?
Pole sana piga moyo konde!
Ina maana haukuwai kwenda kwao kutambulishwa?
achana nae utapata mwingine...though inauma!
huyo kachoka kukugegeda bwana...kwani mwazoni alikuwa hajui kuwa mama hapendi kabila lako....wanaume wabaya acha tuu
kubali kuwa umetumika move on na utapata mume kamili ila usikae ukafanya kosa la kutoa papuchi kabla ya kuuliza mambo ya dini na kabila na mtazamo wa huyo mwanaume
Asante Natalia... Hayo mawazo nitayapata baadae, saivi niko kwenye maumivu ambayo ni makali sana. Ni bora ningekuwa binti mdogo, mimi ni mdada mkubwa hata sihitaji shule tena.
Habari wana MMU? Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana sana na tulipanga Mungu akijaalia tufunge ndoa mwaka huu mwishoni. Sasa leo ameniandikia meseji akiniambia Mama yake amemwambia hawezi kunioa mimi kwa sababu sio wa kabila lake, na yeye kasema hawezi kuacha kumtii mama yake.
Ameniomba tuachane na hivi sasa mama yake amemuunganishia kwa msichana mwingine ambaye ni kabila lao. Hapa nawaza na kuwazua hivi naanza mahusiano na nani? Wanaume wote sio kanisani, ofisini walikuwa wanafahamu mahusiano yetu na waliyaheshimu. Leo hii naanzaje kusema niko single? Ndoto ya kuolewa naona imepaa.
Naombeni ushauri wenu wana MMU, haya mambo yamenichanganya sana.