Nimechanganyikiwa nashindwa nikae na mke yupi??

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
103
Naomba ushauri wana jf, miaka 12 iliyopita nilikuwa na mchumba wangu , tulichumbiana na nikamvalicha pete ya uchumba, nilipagiwa mahari ya kulipa , but baada kama miezi miwili hivi mchumba wangu nilimpa ujauzito , ndugu zake waligomba sana tena sana , aliamua kuondoka kwao na kujakuishi na mimi , wakati huo nilikuwa na kazi zuri sana , baada ya muda niliamua kuacha kazi na kwenda kusoma nje ya nchi, nchi moja Ulaya , mchumba wangu nilimuacha kwa wazazi wangu , ttulikuwa tunapendana sana tena sana , hata siku tunaachana pale airport alilia sana na hakutaka hata niondoke niende kusoma , tuliendelea kuwasiliana kwa barua kila mwezi, karibu miaka miwili hivi tulikuwa tunawasiliana vizuri sana.lkn alichekwa sana na ndugu zake , kwani walikuja wachumba wengi sana kutaka kumchumbia lkn halikata kwa ajili yangu, na hali ya maisha nyumbani kwetu ilikuwa mbaya sana kutoka na mzee wangu ambaye ndiyo alikuwa mtoa fedha mkumbwa kustaafu
Niendelea na masomo yangu lkn hali ya kule ilikuwa mbaya sana hasa kifedha , serikali ilikataa kabisa kutusaidia kule , wengi wetu waliacha shule , lkn nilijitaidi sn kuendela na masomo kwa shida sn ,na niendelea kutuza ahadi yangu kwa mchumba wangu , lakina hali ilinishinda nikapata kuwa na mausiano na mwanafunzi mwenzangu mzungu na alinisaidia sana kwa kila hali , kifedha hata kimwili , na tulianza mapenzi moto moto , lkn wazazi wake walipiga vibaya sana mahusiano yake na mimi , walipiga kutokana Ubanguzi wa rangi , family nzima ilimtega na hawakuataka kabisa kujua hali yake kimaisha, halipata wakati mgumu sana kuwa na mahusiano na mimi, lakini alinipenda sana huyu dada wa kizungu , baada ya mwezi miwili ya mahusiano yetu alipata ujauzito wangu ,wazazi wake hawakuataka kabisa mtoto wao kuzaa mtoto mweusi , lkn binti alikataa kuitowa ile mimba yangu na akajifungua mtoto wangu , tuliendelea na mahusiano yetu, lkn kitu cha kushangaza kuwa cheti cha mwanangu kiliandikwa ubin wa kwake , nilipomuhuliza aliniambia kwa sababu hatujaoana , kwa hiyo sina haki ya mwanangu kupewa ubin wangu .Iliniuma sana na nia yangu kumbwa ilikuwa nimchukue yule mtoto nije naye nyumbani Tanzania, wakati huo nilikuwa nimekata mawasiliano na mchumba wangu ambaye yupo kwa wazazi wangu, ilikuwa imeshapita kama miaka 4 hivi, baada ya hapo
Nilimuhuliza kama kuna uwezekano wa mimi na yeye kutengeneza ndoa , akaniambia ni kitu kidogo sana , tulifanikiawa kufunga hiyo ndoa tu kwa sababu tu ya mwanangu, ili nipate document za kuondoka naye mwanangu, Tulifunga ndoa ,wazazi wake walipiga vibaya sana , Na tulianza kuishi wawili na mtoto wetu huku nikiendelea kusoma, baada ya mwaka moja akapata mimba ya pili, akajifungua mtoto wa pili, lkn hali yetu ilianza kuwa mbaya sana , wazazi wake hawakuwa tayari hata kujuwa tunavyoishi, nilifanikiwa kumaliza Elimu yangu, na kufanya kazi kule but kutoka na taratibu za nchi ile , ilikuwa vigumu sana kwa mimi kupata kazi ya maana , hali family ilianza kuwa mbaya sana , tukawa tunagombana kila wakati na matatizo mengi sana yalijitokea , kama suala la kibali cha kuishi , tuligombana mpaka tukawa tuishi vyumba mbali mbali,
kutokana na kukosa kibali cha kuishi ilibidi nirundi nyumbani Tanzania.Niliporudi Tanzania baada ya miaka 12 ,nikaanza kujijenga upya kimaisha , wakati huo yule mchumba wangu niliamuacha Tanzania , aliondoka nyumbani na kuanza maisha pekee yake na mwanangu , na aliamua KUOKOKA NA KUMTUMIKIA YESU , na alihapa kwamba atanisubili mimi maisha yake yote , na ndiyo alivyofanya hiyo , hakuwa na mwanaume yoyote zaidi ya Yesu kama alivyoniambia
Tuliaonana na kuzungumza mengi sana na alinisamehee, tukawa marafiki tu ,lkn nia yake kumbwa tuoane, kwa bahati mbaya sikumueleza ukweli wote wa maisha yangu kule Ulaya kuongopa kumhumiza roho, baada ya muda yule mke wangu mzungu alipigia cm tukazungumza mengi sana na kuniomba msamaha kwa yote aliyonitendea , na kunieleza watoto wanaangaika sana , na pia anataka tulundiane na tuishi kama mwanzo , na kwamba ananipenda sana
sasa mimi nimechanganyikia kabisa sijui nifanye nini ? maana wote hawa wanawake wananipenda sana na sitaki nimuhumiza mtu , roho yangu inauma sana nikiangalia njinzi wote wawili wanavyonipenda ,Naomba mnishauri nifanye nini ?/
 
Umelikoroga eeeehhh!!! Hangaika nalo mwenyewe. Wewe ulivyokuwa unaharibu na kuchezea chezea maisha ya watoto wa wenzio ulikuwa unafikiria nini hasa?? Hayatuhusu.
 
Umelikoroga na ulinywe mwenyewe!! Wewe una ubinafsi sana. Ulipompata huyo mzungu ulitakiwa umwambiwa huyi mtz wako kuwa hana lake ili aolewe. Kama ulivyosema aliacha wengi kwa ajili yako wakati uko majuu unavinjari na mzungu aliyekufadhili ngono na hela!!! Kwa hapo kilichokufanya umpende mzungu ni kwa sababu ya umaskini wako na ngono ya kununua hukuwa na ubavu nayo!! Zaidi tena ukasukumwa ili ufunge ndoa upate custody ya watoto na uwatoroshe!! Mtoto wa kizungu hatotoshi, watakumaliza!! Ni maelewano tu.
Sasa basi hata huyi mzungu ulikuwa humpendi ila shinda zako zilifanya uwe na mahusiano naye. Uliyempenda ni huyu uliyemsaliti. Pole mdada. Sasa basi weka bayana kwa Mbongo na akikubali kupokea watoto hao basi mara moja vunja ile ndoa ya mzungu!! Ila watoto sahau hatakupa. Baki kuugulia maumivu na iwe fundisho kugegeda hovyo kuzaa watoto mnachia wanawake kulea!!
 
umekuwa mbinafsi sana binti ameamua kukusubiri kwa kipindi chote matokeo yake unamweka kwenye mizani.......mwenzetu ulikuwa busy kweli kujaza dunia mweleze binti wa watu ukweli aamue maana ukiamua kumwoa ipo siku yote yatajulikana
 
pole kwa watoto wako,kuzaliwa na baba asiyejitambua kazi ipo. ulipoanza mahusiano na mzungu uliwaza nini kuhusu huyo uliemuacha kwenu?tena ukijua anakupenda?nafikiri mpaka unaoa mzungu ulikuwa umepanga hatima ya mahusiano yako na huyo wa nyumbani.natamani wote wakukimbie ukatafute mwingine asiyekupenda akupelekeshe mpaka uone raha ya kudonoadonoa bila kujali unawaumiza wanawake kwa ujinga wako.huna adabu wala shukrani kesho ukienda kusoma Marekani utaoa mwingine hukumbuki uliko toka, pole sana. bora uendelee kuchanganyikiwa
 
hii inaitwa kunya anye kuku, akinya bata anaambiwa kahara!! maskini mdada wa watu siku zote anasema yesu ni Bwana leo hii unamweka kwenye vipimo loh... ungefanyiwa wewe hivyo ungemkorogea hata sumu afe.. ila jua kitu kimoja kama ameokoka, ujue kuna kipigo kiko mbele yako yaani huwezi kukikwepa lazima utalia tu..
 
hii stori ilishawahi letwa hapa kama nakumbuka vizuri
 
My lord Jesus, have mercy with these people! Inaonekana umehusuliwa ndugu! Kumbuka ni ukweli tu ndio utakaokuweka huru! Kama ulivyokuwa jasiri kumsaliti mbongo, pia uwe mjasiri kuvunjwa ukimwa, waeleze wote ukweli, huyo mzungu (mkeo) na huyu wa nyumbani (mzazi mwenzio)! Waombe msamaha, ndipo uende kwa Yesu ukamtubiye dhambi zako! Sijui ni ndoa ya aina gani uliyofunga huko majuu! Kama ni ya Kikristo ndugu yangu, imekula kwako! Maana labda afe mkeo, vinginevyo utakuwa mzinzi maisha yako yote ukioa mwanamke mwingine! Unasema umeishi miaka 12 Tz bila mahusiano ya kimapenzi na m-tz! Huyo dada kama kweli amekuwa akimtumikia Yesu kwa uaminifu kiasi hiki basi atakusamehe na atapata mwingine kutoka kwa Yesu ambaye atafanana naye kwa uaminifu. Yamkini kama utakuwa na wewe umeokoka na mkeo amekufa, unaweza ukuwa wewe! Wewe nenda kapatane na Yesu ndio njia ya mkato, Yesu atakupa zawadi ya Roho Mtakatifu, ambaye atakuondolea huko kuhusuliwa kwako na kuyarekebisha yote uliyoyakoroga! Utakuwa na uwezo wa 'self-control' na kuwa 'responsible'! Niseme tu, wapo wengi sana humu ndani ambao wamehusuliwa kama wewe ila hawajitokezi kwa kuwa hawajapata neema ya kujuta na kutamani kujinasua na hali hiyo! Kwa nina ujumbe mmoja: wasikuhukumu wasije kuhukumiwa!
 
Ihariri basi, unakosea sana spelling hadi nakosa hamu ya kuchangia!
 
Kuna watu wana roho nyeusi na ww ni mmoja wapo, watoto wa watu kuwaharibia maisha na kuanza kuwathaminisha ndo tabia gani? Wanawake wenzangu msikubali kuzaa na mtu asie na msimamo
 
Back
Top Bottom