anaona kuwa simpendi,na anajua kuwa ni mjamzito, anasema hayuko tayari kuendelea na mimi
nimejaribu kuongea nae sana na nakubali kuwa ni kosa nimefanya
Aisee pole basi usijutie yameshatokea. ...cha kufanya jaribu kuongea nae akigoma kabisa nenda kwa wazazi wake uwaambie tatizo lako awe na huduma kipindi hiki cha ujauzito mpaka utakapojifungua.
pole sna ndugu yang huyo mwanaume alikuwa ameoa au alikuwa single pind mnaanzisha mahusiano yenu?.Je,mliweka mipango yeyote ya pamoja? cha msingi kuwa na uhakika wa matumizi ya ujauzito na mpaka mtoto anapatikana.hapo mapenz hakuna tena labda baadae sana anaweza kujirud baada ya mtoto kuzaliwa.