Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

Pole sana Arrabella,,hongera kwa kuwa mjamzito!Wengi sana wanatafuta hata mimba za kusingizia bila mafanikio!

Kuna mabadiliko huwa yanajitokeza katika kipindi cha ujauzito especially mimba inapokuwa changa,kuna wengine huwa wanafikia kuwafukuza waume zao nyumbani,hii ni hali ya kawaida Arrabella!

Mtafute rafike yake,au mtu mzima aongee naye ampe elimu ya ujauzito,kuwa hayo yote yanayotokea kipindi hiki hata umtukane matusi au umtamkie kabisa kuwa humtaki na umpendi,sio wewe ni hali uliyonayo ya ujauzito,akuvumilie na hasa azidi kujitahidi kuongeza upendo katika kipindi hiki!

Nakutakia malezi mema ya hicho kiumbe cha Mwenyezi Mungu
well said my brother

pole sana Arabella stay strong mwaya
 
Last edited by a moderator:
Duh! Unanjua binadamu hata umlambe nyao na ulimi bado atakuambia wamuumiza,sasa wewe chakufanya mtafute kaanae chini muongee na myamalize
 
Huyo hakupendi, hakuona njia nyingine ya kukuacha zaidi ya kukutwisha shutuma zisizo na kichwa wala miguu, na jinsi ulivyo naive ukaamini eti "anahisi simpendi".

Anza maisha mapya, na karibu kwenye chama cha 'SIMO' (single mothers); ni challenge lkn very rewarding.

Achana na huyo excuse of a man, watu wengine hu-man up pale wanapojua they are going to be fathers sasa yeye anakuja na vijistori.
 
Labda udadavue, umesema siku zote anaona humpendi, meaning hata kabla ya mimba.

Ukaona uprove pendo lako kwa kumzalia au?

Ni nini kwa mfano kilichokuwa kinamfanya ahisi humpendi? Mifano miwili mitatu italeta mwanga.
 
Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui nifanyaje ? nampenda sana na naumia mwenzenu

Mpende akupendae asokupenda ucmng'ang'anie....mpende akupendae asokupenda mtimue....kupenda usikopendwa ni sawasawa n kungoja meli airport
 
Mimba ina miezi mingap?tatizo kubwa sana wadada mnafanya kutega mimba kwa kudhani ndio penzi litapatikana...kabla ya kubeba mimba lazima uongee na mwenzio la sivyo inakula kwako.

naenda mwezi wa 3 sasa,nimejua nina mimba tayari akiwa hataki kuwa na mimi tena na
tulikuwa tunapanga ya kuwa na mtoto
 
kwa nini wenye bahat ya kupendwa hawapendi? pole lkn, endelea kumbembeleza na kuomba kwa MUNGU akupe njia sahihi ya kupita,kila la heri.
 
Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui nifanyaje ? nampenda sana na naumia mwenzenu

Yy ndo hakuwa na upendo na ww alikuwa anatafuta sababu lkn na ww bd mwanaume hajakuowa kwann ujiachie mpk mimba ok pole lea tu haina jins usitoe mimba piga kimya atarudi
 
Pole sana na kwa wengine epukeni kutoa uroda, hii itasababisha thamani yako kushuka
 
Labda udadavue, umesema siku zote anaona humpendi, meaning hata kabla ya mimba.

Ukaona uprove pendo lako kwa kumzalia au?

Ni nini kwa mfano kilichokuwa kinamfanya ahisi humpendi? Mifano miwili mitatu italeta mwanga.

mwanzoni tulikuwa vzr hakukuwa na tatizo, gafla tu akaanza kuniambia kuwa anaona simpendi

Swala la kuwa na mtoto tulishalizungumza kwa pamoja na tukajaribu lakini hatukufanikiwa

Mfano,kuwa ananiona siko na furaha kwake tofauti nikiwa na watu wengine kama wafanyakazi wenzangu, tunafanya kazi kampuni moja ila vitengo tofauti, aliniambia nitafute kazi sehemu nyingine lakini sikufanikiwa kupata kote ninakoapply kitendo cha kukosa kazi sehemu nyingine au kuacha kazi hapa ninapofanya ndicho anahisi kuwa simpendi, japo tulizungumza hili bd anaona simpendi na kweli ninampenda sana
 
Huyo hakupendi, hakuona njia nyingine ya kukuacha zaidi ya kukutwisha shutuma zisizo na kichwa wala miguu, na jinsi ulivyo naive ukaamini eti "anahisi simpendi".

Anza maisha mapya, na karibu kwenye chama cha 'SIMO' (single mothers); ni challenge lkn very rewarding.

Achana na huyo excuse of a man, watu wengine hu-man up pale wanapojua they are going to be fathers sasa yeye anakuja na vijistori.

Kwan ww mpk leo bado upo SIMO?...wacha nifanye mpango nkutoe kwny hicho chama
 
Pole sana binti, akikataa usimlazimishe songa mbele
 
Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui nifanyaje ?

Nampenda sana na naumia mwenzenu.

Pole sana mama hayo yanatokea ila nakushauri jitahihi kucontrol hasira na control ur feeling ili usimuathiri mtoto na kama yoko tayari mwenyewe atarudi kama hayupo tayari jiandae kuwa single mother and fight sometimes mapenzi yana taabu
 
Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui nifanyaje ?

Nampenda sana na naumia mwenzenu.

Pole na Hongera,
Tell the man you are expecting his baby....He deserves it, purely out of responsibility and welfare of the baby(Kitu ambacho kwa sasa ni priority).
Kuna tatizo kama umekaa naye miaka miwili na ahisi humpendi.
1) Either hukua unampenda na sasa umepata ujauzito huna jinsi na ukiangalia moyo wako unaona kama anafaa na ndo unadai unampenda ama ndo unakumbuka kumpenda.

2) Ulimpenda lakini si kivile na ulikuwa unajichanganya sana na rafiki wako wengine wa kiume(just friends), na ukawa unajisahau unamtreat kama wao tu, ama hukumpa muda na nafasi ya kutosha kama aliyoihitaji/stahili. Ama ulimpenda lakini huko vizuri kwenye mchango wako kwa mahusiano.

3) Jamaa ni mtu ambaye hajiamini na hakukuamini amini kama kweli unampenda. Au kuna vitu anaamini mpenzi hupewa na hakupewa(haijalishi kama ni haki ama la-its just the way he thinks).

4) Ama jamaa hakukupenda kivile. Kwa hiyo anajaribu kukufanya wewe ujisikie hatia akikuacha kumbe wala huna kosa.

Pick your reason and know how to rectify the problem. Ila kwa sasa ningekushauri umpe kipaumbele zaidi mwanao ajaye. Anastahili maisha bora kama kila mtanzania.
 
Kama unakazi yako achana nae huyo mwanaume sperm.
 
Hiyo mimba ni ya mtoto wa kwanza au ulishazaa naye mtoto mwingine?
 
"ulieokota nae kuni ndiye utakaeota nae moto" - Mimi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom