Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Kumbe unafanya kazi bidada, omba nafasi ya kuongea nae, kwa urefu ujue nini mawazo yake, kua utoe mimba, kua uwe single mom, kua atamlea mwanae , n so on,.Then jibu lake lolote lisikuvunje moyo, incase imeshindikana kua wote, kaa na mwanao, lea kadri uwezavyo , mpe maisha unayowish mwanao awe nao, ukiyumbisha kichwa mtoto atakosa mwelekeo, usikubali mama hilo litokee, Huyo baba akiamua kwenda mtakie aende salama asigeuke nyuma, na ufunge semi