Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

mamiie!,
huyo alitaka tu kukuumiza
iweje alikuwa radhi kuwa nawe akijua humpendi but leo una ujauzito ndo aseme hawezi kuendelea nawe!
anakimbia majukumu!
relax jilelee mwanao!
you ought to!
 
naenda mwezi wa 3 sasa,nimejua nina mimba tayari akiwa hataki kuwa na mimi tena na
tulikuwa tunapanga ya kuwa na mtoto

Mh! we bibie mbona kama ni mimi vile? aisee sina budi kuku-pm tushee. Unahitaji msaada wa kisaikolojia tu ili utuzalie mjomba/shangazi mwenye afya nzuri ya hisia na akili. Huyo mwanaume msahau na uanze kujifunza kumfahamu kama mzazi mwenzio walau wakati huu wa ujauzito.
 
Good !
maisha lazima yaendelee,with or without a father!
 

Namba 3 na 4 zina uwezekano zaidi. Wote wana emotional issues. Unconsciously mwanaume hakubali kupendwa na mwanamke anapenda kuumizwa ndo maana aling'ang'ania sehemu ambayo alikuwa hapendwi. Maana kama muda wote mtu alikuwa analalamika kuwa hapendwi sidhani kama bibie alikuwa anapata mapenzi.
 
Kwan ww mpk leo bado upo SIMO?...wacha nifanye mpango nkutoe kwny hicho chama

Hapana nilishatoka huko Nokia, nilipata single father tukaunganisha single mbili na kupata family.
 
Hapana nilishatoka huko Nokia, nilipata single father tukaunganisha single mbili na kupata family.

Safi sana...mm nlitaka kumtoa mtu kwny hicho chama lakin naona kachukua kadi ya maisha kwny chama.
 

mamii!
hebu lea mwanao!
mwanaume asiyejiamini kiasi hicho ukiwa nae as in life utakoma!it sucks!
anza kuongea na mwanao utaona mtakua pamoja na kutengeneza bond ya u two can be happy and strong!
 

asnte Nandera, kweli hata sielewi nini kinaendelea mbele yangu
 
mamii!
hebu lea mwanao!
mwanaume asiyejiamini kiasi hicho ukiwa nae as in life utakoma!it sucks!
anza kuongea na mwanao utaona mtakua pamoja na kutengeneza bond ya u two can be happy and estrong!

The man has issues.
Bidada atulie, huenda Mungu anamuepushia makubwa ambayo yangempata.
 
The man has issues.
Bidada atulie, huenda Mungu anamuepushia makubwa ambayo yangempata.

upo wakati huwa tunaamini Mungu kafunga milango na madirisha tukijidanganya kuwa nia Yake ni tukose pumzi KUMBE THERE IS A VERY BIG STORM OUTSIDE!
 
Pole sana mdada Mungu akutie nguvu cha muhimu zingatia afya yako mpende mtoto wako na uoneshe kumfurahia as longer as Mungu kakupa kazi jitume ili uweze kusave kwaajili ya mwanao.
Nampongeza mama yangu kila siku alikuwa ananipigania sana hata kama tutakunywa chai na mkate jioni lakini maisha yaliendelea na yalikuwa ya furaha .Usiugue moyo jipange upya.
 
Lakini cha muhimu ni yeye ajue kuwa una mimba na kama unaishi nae chini ya paa moja fanyeni maamuzi maana ni bora kuishi peke yako kwa furaha kuliko unakaa na mtu pamoja kakununia asije akafanya mimba yako itoke bure kwa stress
 
asnte Nandera, kweli hata sielewi nini kinaendelea mbele yangu
ukiendelea kukiri kuwa huelewi hutaelewa kweli ujueee!
he is a looser!
yeye sio wewe!
unaanzaje sasa kuloose wakati una boooooonge la zawadi maishani,ikumbatie ikubali ithamini itunze!
utaona maisha yatakavokuwa mteremko!
 
My dear, chukulia hiyo challenge kama ni lesson learnt, jaribu kuongea nae akiringa achana nae, there are lots of them out there!!!! usikute mungu anakuepushia janga hilo we unataka kun'gmgániza!!!!!!!!
 
Mweleze hali halisi....
Jiandae kuwa single mother...

Maisha lazima yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…