anaona kuwa simpendi,na anajua kuwa ni mjamzito, anasema hayuko tayari kuendelea na mimiKwan tatizo nn?anajua km una kibendi?
anaona kuwa simpendi,na anajua kuwa ni mjamzito, anasema hayuko tayari kuendelea na mimi
Hawezi kuona humpendi bila kuwa na sababu yeyote
ndivyo anavyoniambia
Tatizo hukutaka kujua kwann anasema hvyo...halafu on top of that ukaenda kubeba na mimba
nimejaribu kuongea nae sana na nakubali kuwa ni kosa nimefanya
kweli najuta na naumia kwa hilo