Huu uhuru wa kuji express ukizidi huwa unaleta madhara...Sio lazima kuanzisha thread...Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..
Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..
Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo
Nifanyeje.?
KARIBUNI
Yn ulikua unataka msaada gan kwa mfano labda? Manake sauti yako, unaijua km nzur au mbya cie ha2jui, yn nashndwa kuelewa msaada unautaka manake post yko imekaa cjui niseme ni kitoto or smthng like tht,

duh, jf kindagateni inahitajika
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..
Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..
Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo
Nifanyeje.?
KARIBUNI
jamaani ameshajieleza vya kutosha toeni maoni afanyaje. kwa kifupi hata kama ni kid anahitaji msaada wenu
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..
Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..
Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo
Nifanyeje.?
KARIBUNI
Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..
Ivi mwafikiri natania hapa.
Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..
Guyz!
Umri wa nin.. Im matured.
ok....relax.....
hebu niambie mie dada yako.....
huyo unaechat nae mna uhusiano wa kimapenzi......?
alikwambia hivyo katika hali gani.......?
wewe ukiwa unaongea nae unajisikiaje....?
ukishajibu haya....tutaendelea.....