MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,802
- 72,057
Sawa...
hongera sana mwalimu.
MALCOM LUMUMBA lea watoto vizuri aise mwalimu.
piga saaana mwalimu. make mitoto ya ckuiz vichwa maji. kama wamejitwisha debe!
Mimi nimezoea kufundisha darasani sasa nakuja kukuta barua nimechaguliwa kuwa mkuu wa shule aaarghhh.
Cha kushangaza zaidi nimechaguliwa shule ya wanawake.
Kwa kweli nimefundisha Weruweru na watoto wa kike nawajua akili zao.Nlikuwa nawachapa kweli viboko na walifaulu sana.
Sasa Ukuu wa Shule tena?
Mimi napenda kufundisha bwana; kuanza kufurumushana na wanafunzi na walimu ni shida.
Wanafunzi wameharibika siku hizi aisee..Mabinti wanasumbua sana wakiwa shule. Ila nitaendeleza viboko maana hakuna namna tena.
Wasalaaam.
Hongera kaka na hiv sasa walimu wakuu wanapewa posho ya Laki tatu(300000) kwa level ya degree na laki mbili na nusu(250000) kwa wenye diploma...shavu hilo kaka.
Ahsante sana ndugu,...
Sema mimi nimesoma zaidi ya hapo bwana,...
Nimepangwa sehemu hiyo condusive kwa kilimo balaa,...
And who said UALIMU haulipi?,...
Acha hizo pesa tu,...
Huku ni conducive sana kwa kilimo cha vitunguu,matango,miti..
Nimeshangaa kiwanja cha heka nyingi kinauzwa laki moja hadi mbili,..sasa rutuba yake usifanye mzaha,...
I LOVE MY JOB,...
Ngoja nifaulishe hawa watoto tu,...
Mwalimu unaishi maisha yangu.....................mi nataka niwe kama wewe
Hongera
Nakukumbusha kuchapa. Hata biblia imeruhusu...japo mimi sipendi kuchapa ila kuchapa kunaondoa ujinga...
Chapa sana.
Mimi nimezoea kufundisha darasani sasa nakuja kukuta barua nimechaguliwa kuwa mkuu wa shule aaarghhh.
Cha kushangaza zaidi nimechaguliwa shule ya wanawake.
Kwa kweli nimefundisha Weruweru na watoto wa kike nawajua akili zao.Nlikuwa nawachapa kweli viboko na walifaulu sana.
Sasa Ukuu wa Shule tena?
Mimi napenda kufundisha bwana; kuanza kufurumushana na wanafunzi na walimu ni shida.
Wanafunzi wameharibika siku hizi aisee..Mabinti wanasumbua sana wakiwa shule. Ila nitaendeleza viboko maana hakuna namna tena.
Wasalaaam.
Nimependa signature yako:
If you love two people at the same time, choose the second. Because if you really loved the first one, you wouldn't have fallen for the second.
Nimependa signature yako:
If you love two people at the same time, choose the second. Because if you really loved the first one, you wouldn't have fallen for the second.