Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

Sikuichagua mi niliweka option nyingi ya kwanza ilikua animal science ya ya pili general agriculture iyo ilikua ya mwisho ya tano kuchagua nilitaka kubadili so kabla sijafanya inabd nijue ikoje kiutaalam zaidi
General agriculture au animal science hizi ndio za kupambania hiyo food science hapana aisee.
 
HUPATI MKOPO MWAKA HUU!!!
 
Nielekeze fresh mkuu kwanini umuhimu na uwanja wake ukoje
 
Ungeshirikisha kabla ushachaguliwa unataka mafunzo ,kikubwa tuza bumu lako ukihitimu masomo fungua biashara
 
Dogo kasome..ila jua mtaani ukimaliza hizo tbs au viwanda utaviskia tu kwenye redio..kasome kupata skills za kuja kujipambania maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ