Naomba msaada nimechaguliwa first round udsm but cjawa admitted na profile inaonesha nimechaguliwa udsm na kozi husika niliyochagua.
na udsm wametoa batch 2 lkn bado sipo mwenye msaada na cku zinaenda?
hueleweki mkuu

Nenda chuo fata joining instructions acha uzeee
aaah poa,poa maana tcu ni wasen**rema knoma yan

Acha matusi kijanaa....umesaidiwa fuata maelezo habari kwisha habar za kuanza kutukan zinaanzia wapi...ukishafuat hiyo form ndo mambo mengine yatajulikan haphapo chuo...