Nimechagua galasa

Nimechagua galasa

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
197
amini Na kwambie kuna watu tunapitia magumu . Inafika wakati unasema kwa nn nilimchagua uyu mwanamke kweli nilichagua galasa.

Kipindi cha ujana wangu .bahada ya miezi sita ya kuwa jeshini (chabuluma) nilirudi kijijini kwetu.
Kipindi icho ukiwa askari jeshi ni mtu wa kueshimiwa sana.

Wanawake wengi walikuwa wanavutiwa sana Na askari jeshi.sikupata tabu kutongoza.Mara nyingi wao ndo walikuwa wa kinitongoza .najua mwazijua sifa za askari juu ya totoz ni kuweka Na kubadua. Unabalisha radha tu si wanajileta.

Basi nikiwa kijijini nilikutana Na binti mmoja dogo dogo mvuto wa kisichana.

Binti alikuwa mbichi kabisa .Ata ukimshika unasisimuka kwa ubichi alio nao.Aikupita muda nilitangaza ndoa .Mahali ikatolewa Kila kitu.

Laki kunasiku nikiwa matembezi kuna Mzee aliniita Na kutaka mazungumzo Na Mimi.

Tulika sehemu Na mazungumzo yalikuwa ivi
Mzee:- kijana unataka kuoa kwa Mzee nani ?
Mimi - nipale familia ya Mzee mwambene(jina sio arisi)

Mzee- uwezi tazama.kwengine .tazama kwengine.

Mazungumzo yali ishia apo.nilipanga kuwaeleza nyumbani .ajabu nafika nyumbani .nikasaau kabisa ujumbe wa yule Mzee.

Sasa Toka nianze kuishi Na uyu mwanamke ni matatizo tu.ikawa wanawake wengine awanitaki ata wale niliokuwa nao wakawa awanitaki.

Matatizo ikafikia nikaacha kazi bila sababu.sasa ikafikia nikiwa nime lalanae nikitazama upande wake sipati usingizi nikitazama upande mwengine napata usingizi.

Miaka ikapita .kutokana Na matatizo ya apa Na pale yeye mwenye akaomba talaka .

Lakini mwaka mmoja baada ya kutengena .nikiwa nimelala kulitokea Na tetemeko chumbani kwangu tu nilijibamiza ukutani .mtoto wangu alikuwa akijisomea sebuleni alisikia kishindo.

Alipo niuliza baba kuna nini ukochumbani .nikamjibu ni tetemeko .sasa mbona ni chumbani kwako tu mwanangu alijibu ivo.

Kesho yake .kuna jirani yang akanifwata Na kuniambia .Jana usiku mkeo alikuja kuchukua roho yako.alikuja Na wanaume wa wili.lile tetemeko ni ugomvi nilikuja nikusaidie sababu wew unatatizo Na watu mtaani apa kwa nn huzulumiwe maisha yako.

Sasa ndugu zangu mda mwingine Nita endelea wacha apa niweke nukta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naweza kukielewa kiasi.
Nilinusurika kuolewa na mshirikina damudamu hadi familia inamuheshimu

*Usichague kiongozi mbaya kisa ni wa chama chako*
 
Aiseee pole sana ndugu yanguj

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Ijumaa hii bana leta story za maana tusitishane saa hivi mzuka wa bia unapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom