Sema tu umevurugwa.
Haiwezekani nasema tena haiwezekani students waache kusoma waje jf twente foo hawaz na xana zao badala ya sana! Pia haiwezekani na sipendi watu wamtongoze my wife wangu Lady doctor laiv laiv bila chenga!
Haiwezekani mahakama iingilie kesi za chama
heee kulikoni tena shem povu linakutoka mdomoni kisa wanafunzi wafanyaje tena?
kwani kuna nini kinaendelea hapa mpaka umekosea kutype uzi kamili?
Whaaat ?
Lais anevulugwa? Kwa 7bu gani ? Mi na6 kuludia kusema unachomwambia lais we2 , ww umesubu2je ?
Ngoja Rady dokta akusikie !
Mi namuogopa xasa aisey.
Whaaat ?
Lais anevulugwa? Kwa 7bu gani ? Mi na6 kuludia kusema unachomwambia lais we2 , ww umesubu2je ?
Ngoja Rady dokta akusikie !
Mi namuogopa xasa aisey.
Nashindwa kusoma huu muandiko. Unaandika kwa miguu mkuu?
We mchawi nini ? Umejuaje kama naandikia mguu? Sema umekosea kiduchu tu , mguu niuandikiao si hii mirefu inayogusa chini , ni kale kamguu kafupi kanakoning'iniaga!
Ha ha ha haaa
Kumbe ni mmojawapo wa wale
walioko likizo, Judgement mbona umenipa
raha ghafla ghafla hivi jamani, loooh.
Hapa umeandika kwa mkono ila pale ni mguu tena wakushoto
umechafukwaaa na rohooHaiwezekani nasema tena haiwezekani students waache kusoma waje jf twente foo hawaz na xana zao badala ya sana! Pia haiwezekani na sipendi watu wamtongoze my wife wangu Lady doctor laiv laiv bila chenga!