Nimeboresha tu kwa picha

Nimeboresha tu kwa picha

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
Kitu ni kile kile kilishaletwa mara nyingi tu humu wadau...!

iko hivi..

Siku moja ukiwa unatembea ghafla unashituliwa na kofi la nguvu linalokupelekea kufumba macho, ngumi kama kumi mfululizo usoni,kufumbua macho unakutana na sura usiyoifahamu, na yeye anashituka na kukuambia samahani sana nimekufananisha.

enjoy ngumi za watu wazima!!!!


10394000_1167577659923317_1488868022077218493_n.png
 
Ntamwambia poa haisha shida then nasepa
 
Ntamfananixhe na yule ninaemdai au anayemla demu wangu then kitaumanaa kichapo cha mbwa mwiz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom