Nimebakwa na wanawake watatu

Jamani mkoje, muhusika akuwa usingizini alikuwa amepoteza fahamu, kama uwezi kutofautisha kupoteza fahamu na kuwa usingizini basi nakushauri waulize madaktari, maanake naona ubishi wako unakosa mantiki.
Ahaaaaa! Kumbe wewe ni mwanamke! Ndo maana hujui kwa nini Wanaume hatuitaji maandalizi kabla ya tendo la kujamiiana, yaani mwingine akipishana na mwanamke mwenye makalio makubwa tu utaona mbele kunatuna ghafla, jaribu kumuwekea dawa za usingizi mumeo akizimia kama unavyodai chezea dushe lake kisha rudi hapa utupe mrejesho, maana hakuna dawa inayoweza kumfanya mtu azimie ipo dawa ya kumfanya mtu alale, kama ipo labda ni ile inayotumika wakati wa upasuaji
 
Mmmh kama ulikuwa umezimia sasa ilisimama vipi mpaka wakajiridhisha, nenda hospitali ukacheki afya yako, isije ikawa wewe umebakwa na wanaume na sio wao, mana ile ikilala kazi zinafanyika kweli??
Hebu niwekee mimi dawa ya usingizi nikizimia chezea Dyudyu yangu kisha uje kuwaambia hapa kama ilisimama au la!!??[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hebu niwekee mimi dawa ya usingizi nikizimia chezea Dyudyu yangu kisha uje kuwaambia hapa kama ilisimama au la!!??[emoji2][emoji2][emoji2]
ha ha ha ha duh!! labda kama niko wrong ungefafanua kama upo huo uwezekano lakini sio kunijaribisha sumu kwa kuramba.
 
Nashukuru kwa mawazo.
 
ha ha ha ha duh!! labda kama niko wrong ungefafanua kama upo huo uwezekano lakini sio kunijaribisha sumu kwa kuramba.
Sasa sumu itoke wapi? Unanilewesha nikizimia unachezea Dyudyu, kwani si tunafanya Practical?
 
Unajua mwanaume ni tofauti sana na mwanamke Kimaumbile ua NGONO! Tofauti kubwa sana ni hii " ili tendo lifanyike, lazima uume usimame ( Dindability isome angalau 85°) na mwanamke kazi kubwa kabisa anayopaswa kufanya ili tendo litimie ni kupanua tu miguu" Hii inamaana kuwa mwanamke hata kama hana nyege wala hamu, nyege hizo na hamu zitakuja tu mbele kwa mbele baada ya kusuguliwa

Sasa wewe ulikuwa umeleweshwa madawa, ilikuwaje mboro isimame na usuguaji uendelee???
 
Labda tunatofautiana capacity of dindishability kutoka ntu na ntu.
 
I find it very hard to believe,ulijuaje kama umebakwa being a man? na if yes umebakwa ulikua umelala fofofo umejikuta huna surual au huna Boxer au ulivaa kikoi?what i know ukilala na hiyo kitu network ina kata walisimamisha kwa kuweka miti au wali tumia as it is,au hua inasimama when ur asleep?
 
Watakuwa wametia midole nyuma maana ata mwandiko wake unaonesha hasira sana
 
Nashangaa mkuu
Labda teknolojia imebadilika wacha tusubiri wataalamu wengine ila unaweza kuwa macho kisha akatokea demu ambae hata hukuwahi kumuazia kutokana na tofauti zenu au labda chuma cha nguvu hapo mawasiliano hukatika ghafla na ukuni hata uupepeee vipi unakutizama tu sembuse huyu kauchapa kabisa usingizi?
 
Mie najiuliza mashine ilikuwa inasimama wakati wewe hujitambui?Nawaza tu lakini
Alivozima alipitiwa na usingizi na kwa kuwa alisinzia kumbe akaota yuko na mke wake hapo ndipo walaitumia nafasi hiyo



Najaribu kutafuta namna inavoweza kuwa angalau na unafuuu wa kuaminika vinginevyo katupiga mchanga wa macho
 
Ukikata moto na mpini hukata moto,sasa huo wa kwako ni wa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…