Nimebakiza mafanikio katika mapenzi

H Hahahaha
 
Unafail broo
 
Walahi huyu jamaa wala hana hela kihivyo kama anavyodai ila anataka kutumia ujanja wa mafanikio ya fedha kuwakamata wale mademu ambao ni maboya!...........believe me!!
 
Hahahaha mashaka gan mkuu
 
Kwa utafutaji huu utapigwa hela hadi ukome tena ushasema unafanya biashara ndani na nje ya nchi? haaaaaahaaaaaaaa huwajui vzr wana njaa balaa utapetiwapetiwa hadi uone hiki nn!
 
Sasa mtoa mada mwenye anajivunia kuwa na pesa hlf anataka mwanamke asiye na pesa si ujinga huo..we ungesema vigezo vyako vingine hlf kwenye kugezo cha kazi ungesema mfanyabiashara...ngoja waje Pm wapenda pesa maana ndo uliowaita
Kawaita mwenyeeeeeeewe!
 
Kwa utafutaji huu utapigwa hela hadi ukome tena ushasema unafanya biashara ndani na nje ya nchi? haaaaaahaaaaaaaa huwajui vzr wana njaa balaa utapetiwapetiwa hadi uone hiki nn!
Haaah muacheeee banaaa
 
Kwa utaratibu wako huo una safari ndefu mkuu, maana moyo mwenzio ni kichaka.
All the best.
 
Hahah ndo unamshushua mwenzakoo sasa jamanii
 
Ninachopendea jf kila unachokitaka utakipata kwa haraka
 
Nenda kujijini usijionyeshe una Vincent vya kubadilishia mboga utapata mrembo umtakae
 
Kama ni kweli ulibaini hawana mapenzi ya dhati ni bora ulivyoachana nao, maana ungetetereka kidogo tu kiuchumi, ungeambulia kibuti
 
Hiyo mentality ndio huwa inawafanya msipate mapenzi ya dhati, na kwahiyo unasafari ndefu ktk kuyapata hayo mafanikio ya kimapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…