Umenifurahisha mkuu!:wanatakiwa wapende hela za kutafuta na sio za kuhongwa hongwa!Pole sana mkuu una safari ndefu sana ya kumpata mpenzi asiyependa HELA!
Ameshakuwa mkeo kwa nini sasa asipende hela zako, unataka apende za nani?Umenifurahisha mkuu!:wanatakiwa wapende hela za kutafuta na sio za kuhongwa hongwa!
nadhani mtoa mada amewalenga wale ma Gold-diggersngoja kwanza nikuchane halafu nikupe baraka..
wanaume wengi wenye pesa mna kasumba kuwa mnapendewa pesa sasa mkuu baada ya kukupenda wewe unategemea upendo wangu kwako nisiufaidi... pesa unazo unataka utumie na nani kama si mpenzi wako?
acha uchoyo tumia pesa ikuzoeee
all the best
duh haya me kwa kweli nitampenda akiwa na pesa zakenadhani mtoa mada amewalenga wale ma Gold-diggers
wapo nae kumchuna tu, yaani wamemgeuza ATM. the moment akifilisika na wao mapenzi yameishia hapo.
kwa wale wataompenda yy kama yy basi ni haki yao kula asali.
Oooh sorry kumbe ushaiona fulsa haya bana kazi kwako
Na mke haongwi.....na ile awe mke lazima mupitie njia ya urafiki,uchumba then mke,,sasa hapa kwenye hatua za awali ndio pagumuUmenifurahisha mkuu!:wanatakiwa wapende hela za kutafuta na sio za kuhongwa hongwa!
Kwanza nilijua lazima uonekane kwenye huu uzi, pili nilipokuona nikajua utakoment nini kabla ya kusoma komenti yako, tatu pia na mimi nikawa tayari nimepata cha kukoment hapohapo..!ngoja kwanza nikuchane halafu nikupe baraka..
wanaume wengi wenye pesa mna kasumba kuwa mnapendewa pesa sasa mkuu baada ya kukupenda wewe unategemea upendo wangu kwako nisiufaidi... pesa unazo unataka utumie na nani kama si mpenzi wako?
acha uchoyo tumia pesa ikuzoeee
all the best
money is everything my dearKwanza nilijua lazima uonekane kwenye huu uzi, pili nilipokuona nikajua utakoment nini kabla ya kusoma komenti yako, tatu pia na mimi nikawa tayari nimepata cha kukoment hapohapo..!
Hivi unasema kwa upendo wako ina maana yeye atakuwa hakupendi au wewe unafikiri hisia zake zimeporwa na pesa aliyo nayo?? Pesa ni ziada katika mapenzi MONEY IS NOT EVERYTHING eboo..![emoji34]
Habari wakuu,
Mimi ni kijana kimri, nimebahatika kupata mafanikio ya kimaisha katika umri huu, ninafanya biashara ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Nje ya mafanikio ya kifedha nina ndoto ya kupata mwenzi atakaye kuwa taa katika mafanikio yangu, mwenye mapenzi ya dhati na sio mapenzi ya pesa zangu.
Nimewahi kuwa na wapenzi zaidi ya wawili, wote niliachana nao baada ya kugundua kuwa hawakuwa na mimi kwa kunipenda mimi bali pesa.
Namtafuta atakayenipenda kweli niendeshe naye maisha asizidi 25 years.
Asanteni!