Nimebaki na mshangao na kisichana cha miaka 16

Habari

Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah

Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini ikinisalimia " mambo" aisee nilibaki nashangaa na bila kuitikia mpaka yule msichana anakata Kona na kwenda zake, yaani mpaka anapotea machoni mwangu ndio akili inanijia

Salamu ya kawaida lakini ilinifanya nijiulize huyu binti si ilitakiwa aniamkie , mbona kaniambia mambo, aisee hatari sana

Akili imenijia na kuniambia kwanini! Usingemuita karibu yako usalimiane naye vizuri na kumuuliza maswali mawili matatu ila alikuwa ameshapotea machoni mwangu

Nomaa aisee, jela inatembea barabarani

Hatari
Unataka ukaegemee mlango wa jela
 
Yani binti kukusalimia tu ''Mambo'' hapo hapo ukajua kua umri wake ni miaka 16 ?
 
Sijasema mwanafunzi ila umri wake ni mdogo
Hapana acha hizo fikra, huku kitaaa tunavyo kibao visha acha shule kitambo, na hata ukishindwa kujizua pimeni kwanza au vaa ndomu, nafanya biashara ya umachinga hivo nakutana nao sana hao mabinti pesa mchawi wengi watoto wa single Maza, au poor family bro dunia ina mtihani hii, hivo ili maisha yaende kanaanza kutembeza ingali kadogo, mitandao ya kijamii ndo imekuja kugaribu kabisa hasa TikTok, fb na insta
 
Habari

Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah

Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini ikinisalimia " mambo" aisee nilibaki nashangaa na bila kuitikia mpaka yule msichana anakata Kona na kwenda zake, yaani mpaka anapotea machoni mwangu ndio akili inanijia

Salamu ya kawaida lakini ilinifanya nijiulize huyu binti si ilitakiwa aniamkie , mbona kaniambia mambo, aisee hatari sana

Akili imenijia na kuniambia kwanini! Usingemuita karibu yako usalimiane naye vizuri na kumuuliza maswali mawili matatu ila alikuwa ameshapotea machoni mwangu

Nomaa aisee, jela inatembea barabarani

Hatari
Acha ushamba,shikamoo marahaba ni salamu za kitumwa na washamba kama wewe.
 
Habari

Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah

Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini ikinisalimia " mambo" aisee nilibaki nashangaa na bila kuitikia mpaka yule msichana anakata Kona na kwenda zake, yaani mpaka anapotea machoni mwangu ndio akili inanijia

Salamu ya kawaida lakini ilinifanya nijiulize huyu binti si ilitakiwa aniamkie , mbona kaniambia mambo, aisee hatari sana

Akili imenijia na kuniambia kwanini! Usingemuita karibu yako usalimiane naye vizuri na kumuuliza maswali mawili matatu ila alikuwa ameshapotea machoni mwangu

Nomaa aisee, jela inatembea barabarani

Hatari
Na hapo shimo zote zipo wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom