Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Huyo mama mkwe ni jipu, itakuwa alishirikishwa tokea mkeo alivyogundua anaujauzito usiokuwa wako, wakakupima akili wakaona wewe watakumudu ndo maana hata majibu yake ni ya kingese namna hiyo.

Probably huyo mwenye mtoto ni mtu mwenye uwezo kiasi flan ndo maana wanajiaminisha kuwa hakuna hasara.

Sasa hivyo alivyoondoka kwenda kwao ndo iwe mwanzo na mwisho wa kuwa Karibu na hiyo familia, yaani ikiwezekana hata usionane wala kuwasiliana na mmojawapo wa wanafamilia hiyo.

Leo watoto wako, wanawake wa kukata hamu wapo kibao, baaadaye ukitaka kuoa tena unaweza pia.

Mshirikishi wakili wako kwa siri kama mna mali nyingi ili ujue namna ya kumkwepesha ikitokea wakarudi kuja kukusumbua. Focus kutengeneza maisha yako na wanao.
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Yaani aibebe mimba toka Moro au Kibaha mpaka huko kwako bila ya kuiharibu, kweli jasiri.
Mkuu Myangu soma jibu la mama mkwe hapo juu utapata picha.
 
Mrejesho mkuu?

Ushauri wangu wewe bado kijana Kama unatumia vilevi kujipunguzia mawazo acha kabisa.mshukuru Mungu utapata mke wako wa ndoto huyo muache miezi 2 Kwa wanawake ni ndogo sana isitoshe ulikuwa unaenda mara Kwa mara.
NB:muheshimu Kama mama wa watoto wako 2 Ila Kama mke hapana hafai kabisaaaa😡

😎😎😎😎😎😎
 
Ndo nimeuona uzi leo ,hivi mfano tu mwanaume ndo akizaa nje sio shida eti? Halafu akamleta mtoto wake mkewe ndio amlee
 
Ndo nimeuona uzi leo ,hivi mfano tu mwanaume ndo akizaa nje sio shida eti? Halafu akamleta mtoto wake mkewe ndio amlee
Siyo kosa sana kama akifanya mwananke. Ingawa wazungu wamekuja kuwajaza vichwa wanawake wanaanza kujiona eti hilo nalo ni kosa la kuvunja familia.
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Anakutishia kuondoka na watoto wote sababu anajua kuwa watoto ndio udhaifu wako mwache aende nao ila mwambie akibandua mguu na watoto basi ajue mahitaji yao yote yeye ndio atayetoa wewe hautausika kwa lolote
 
Umefanya maamuzi mazuri na sahihi kwa muda huu. Afya yako ya akili ni muhimu zaidi vilevile utulivu wa nafsi. Umri wako wa 35 years bado una kesho nyingi za ujijenga kiuchumi wako na watoto.

Hakupitiwa na shetani ila timing yake ilikuwa mbaya.

Pole sana comrade.
Uko sahihi kabisa Wala sio shetani timing ndio imechenga.
Mwambie aende nyumbani kwao kwasababu unaweza ingiwa na hasira ukamtenda visivyo.
 
Naomba niende kwenye mada, mimi na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wa pili mwaka 2018.

Nilihamishwa kikazi kutoka Dar kwenda moja wapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, hiyo ilikuwa mwaka 2019 ikabidi wife na watoto wabaki huko mkoa jirani na Dasalamu yaliko makazi yetu ya kudumu.

Sababu ya kuibakiza familia huko ni kwamba first born wetu alikuwa anasoma na ukizingatia huku nilikohamia bado sijajiimarisha vyema.

Nilikuwa naenda kuwatembelea mara kwa mara na wao pia niliwapa fursa ya kuwa wanakuja ninakofanyia kazi mara tu shule zilipokuwa zikifungwa. Nilipanga kuihamisha familia yangu kuja kuishi na mimi mara baada ya kukamilisha taratibu za kumhamisha binti yangu kipenzi na pia kumpata mtu sahihi atakaeishi kwenye nyumba yangu.

Mwaka Jana mwanzoni mwa mwezi wa sita mke wangu alinipigia simu akanieleza kwamba anataka kuhamia huku niliko hivyo nianze taratibu za uhamisho, nami bila kufanya hiana nikaanza hatakati za kupata nafasi ktk shule nzuri za private ktk mkoa huu baada ya shule kufungwa wife na watoto wetu wawili wakatia nanga dogo akaenda akapiga paper akafaulu akapata nafasi hiyo ni mwezi wa saba 2021.

Maisha yakaendelea, mwezi wa nane wife akanambia ana mimba, tukaenda kuhakiki kweli nikadhibitisha ni mjamzito sikutaka kuhangaika na mambo ya mimba ina muda gani Harakati za CLINIC zikaanza tukaenda tukacheki afya wote tupo sawa japo wife alinihofia Sana kuwa yawezekana nimeshakanyaga waya.

Ilipofika mwezi wa 12 wife akaanza kunambia UNAJUA SIKU HIZI MAMBO YAMEBADILIKA SANA MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA HATA MIEZI TISA HAIJATIMIA, mimi nikawanamuuliza hayo mabadiliko yameanzia kwako au ni kwa wajawazito wote na je hiyo ni sayansi ya wapi huku nikimtania kuwa mbona hiyo mimba yako nikipiga hesabu ulivyofika hapa na jinsi inavyoonekana ni tofauti, (mimba ilionekana kubwa)

Ukweli ni kwamba wife alifika huku ninakoishi mwezi wa saba Kati ya tarehe 15 hadi 23 mwezi wa saba.

Kwa haraka haraka kama ni mimba niliipigia hesabu za mwezi wa nane na kama ni kujifungua basi itakuwa mwezi wa nne katikati au mwishoni kabisa

Kilichonishtua ni mke wangu KUJIFUNGUA tarehe za mwisho wa mwezi wa pili huku mimba ikiwa imemchosa Sana (mtoto wa kiume, ambae Sasa ni mtoto wetu wa 3)

Kilichoanza kunishtua wife anakomalia mtoto apewe jina W na mimi nasema kama mimi ndie baba wa huyo mtoto basi ataitwa jina Q, tukaendelea kutana Sana na ikumbukwe mimi nashinda Sana kazini hivyo hata wakubwa zake wakawa wanamuita jina hilo analolitaka mama yao ikabidi niwapige marufuku kumuita mdogo wao jina hilo na hadi fimbo zilitumika ndio kwa mbaali wakapunguza.

Jina hili limeendelea kuitwa na kutajwa na waumini wenzake na wife hata wakija kumtembelea utasikia wanamuita jina hilo, mimi nakausha naamua kusepa zangu naenda kumwagilia moyo.

Ikabidi nikae na wife nimuulize kinagaubaga juu ya kweli wa mimba kujifungua jina pamoja na mtoto kutokuonyesha dalili za kufanana na wakubwa zake Wala mimi Wala yeye mwenyewe, wife hakusema kitu japo alionekana kuna jambo anaficha.

Niliendelea kumuuliza pasipo kumpiga Wala kugombana ndipo wife alipoamua kunichana ukweli huku akimsingizia shetani na kunilaumu mimi kuwa nilikuwa mbali nae akateleza mara moja akafanya ndo ikawa imetokea hivyo, nikatulia sikumshirikisha mtu mwingine hata kidogo maisha yakaendelea lakini moyoni naumia Sana.

Na kadri siku zinavyozidi kwenda nakosa uvumilivu ukizingatia natumia kilevi, huwa nakuwa na mawazo mengi Sana nikifikiria kuilea damu isiyokuwa yangu.

Hakika kwa umri wangu huu wa chini ya miaka 35, jamani mimi hili jambo limenishinda kabisa naona sitaweza kulibeba.

Jana nimemweleza kaka yake mkubwa pamoja na mama yake kuwa mimi uzalendo umenishinda nisijefanya maamuzi mengine yakagharimu pande zote mbili, nimeomba mke arudi kwao au aende kwa huyo aliezaa nae mimi aniache nilee watoto wangu wawili

Naombeni USHAURI WENU wadau mwenzenu, niko dilemma.

NB: Matusi nisingependelea kuyaona
Baki na wanao hao wawili, mwanamke aende kwa mwanaume aliyezaa naye. Ni kukosa heshima kwa mke kufanya madudu km hayo na ni aibu. Kimsingi usimpige wewe mrudishe kwa wazazi wake, wao watajua cha kufanya. Mpuuzi sana eti umri wa mimba cku hizi cyo miezi tisa. Kanikwaza sana
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Usimsikikize mama mkwe ni mjinga huyoo! Kama Kuna changamoto yeyote ya kindoa basi angewasikisha kwao au kwa wazazi wako na sikwenda kugongwa huko.... Itakuwa hata huyo mama yake ana watoto ambao hajazaa na mumeo so don't trust her
 
Kuna mbwa mtaani kwetu anaitwa Foxy kwasababu anatiwa hovyo hovyo na madume tofauti tofauti na kuzaa hovyo hovyo. Huyo mkeo ni foxy aseee kuishi na mwanamke anayethubutu kuvua chuppppi kupanua miguu kuacha Qumma yake wazi kwa mwanaume nje na mumewe kisha akamruhusu kwa kumwambia we tOmBar tu kojolea shahawa ndani humohumo ,mimba ikatungwa anakuja kutaka kukubambikia mtoto na baada ya kubananishwa sana anaamua kukiri!! Hell NO!

Aende kwa huyo aliyemzalisha Qumamamamamamamamaaaaaaaqe zake
Hahaha....kwanza anachepuka bila Condom yaani hafikilii kuhusu magonjwa
 
1). Umefanya vizuri kujitenga naye kipindi hiki ukiwa bado una hasira
2). Inawezekana kabisa 'aliteleza' mara moja na kupata ujauzito siku hiyo hiyo
3). Kama wewe hujawahi 'kuteleza' hata mara moja wakati wa ndoa nginevoyenu, basi ni haki roho ikuume sana kwa kitendo alichokufanyia mwenzio. Ila kama na wewe ulishawahi, basi jitafakari kwa upya, maana huenda tofauti kati yako na yeye ni kwamba tu wewe huwezi kushika ujauzito, lakini ungekuwa katka nafasi yake pengine ungebeba mbimba nyingi tu.
4). Pima tabia yake kwa ujumla kabla hujaamua kumuacha jumla. Inawezekana kweli kabisa aliteleza, lakini kwa ujumla ni 'wife material'. Anamipango mizuri ya kimaendeleo, anawatunza watoto vizuri, 'anakupenda' n.k. Usijeukamuacha na kupata mbovu zaidi. Usijeruka mkojo na kikuanyaga mavi.
5). Ukivumilia na kumsamehe kwa hili, kuna uwezekano mkubwa hatarudia tena milele na anaweza kuwa mke bora sana.
6). Mtoto aliyezaliwa hana kosa lolote. Msimhusishe kwenye ugomvi wenu.
7) wewe huna akili
 
Hii ilinitokea muda fulan nilitafutwa na x wangu kaolewa na wanaishi na mumewe, ila mikoa tofauti.
Sasa akawa yupo hot sana nimtie, nikawa nawaza kulikon? Alivyofika akapimwa yuko fresh...nilivyomaliza mtia akataka kuondoka nikamwambia unalala.

Asbh kumekucha akasema anahisi nimempa mimba maana dalili zote za kupata uja uzito anazisikia yani dalili ndani ya masaa sita *****, anyway nikajua anatania tu. Asubuhi akaaaga akaondoka!

Alivyofika kwake akaendeleea kusisitiza mimba imeingiA, ili kumtega nimamwambia pima unitumie majibu, kweli akapima akatuma mimba imo yani ndani ya 24 hours hazijaisha kipimo kinanisomea mimba positive ..

Nilijisikia hasira kali sana, sabab ya hasira zile ni kwamba nilijihisi demu kaona sina akili ama, nikampa jibu moja tu, sikupata reply msg isipokuwa pale penye profile photo naona kivuli hapana picha hadi leo
Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom