FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
Hii nimeipata kwa hesabu rahisi tu nilizofanya. BRT inasafirisha wastani wa abiria takriban 400,000/= kwa siku. Kila abiria analipa si chini ya 650/=
1.)400,000 x 650/= unapata 260,000,000/= (yaani milioni mia mbili sitini).
2.) Kwa mwezi inakuwa 260m x 30 days unapata Bilioni 7.8
3.).Kwa mwaka inakuwa 7.8B x 12 months unapata 93.6B, hii ni sawa na kusema wameingiza gross income ya Bilioni 100.
Maswali:
1.) Kwa kuwa huu mradi umetekelezwa kwa mkopo wa benki ya dunia wa takriban dola milioni 132, na sisi watz ndio tutakaokamuliwa damu ili kulipa mkopo huo, hawa BRT wameshatoa gawio kiasi gani kwa serikali hadi sasa ili iweze kusaidia kulipa mkopo huo benki ya Dunia?