Nimebadili msimamo kuhusu September 1

Nimebadili msimamo kuhusu September 1

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,211
Reaction score
41,788
Wanajamii wenzangu habari za mda huu,

Kufuatia tangazo ambalo tulitangaziwa na mwenyekiti wetu bwana alikaeli mbowe kuwa September moja ni siku ya maandamano nchi nzima nilikuwa kwenye maandalizi ya kuandamana lakin ntaomba mnisamehe SITAFANYA MAANDAMANO HAYO.

Sababu kuu za kunifanya nisiandamane ni hizi;

1. Amani ya nchi yetu, nimefuatilia nchi kadhaa zilizoitisha maandamano yasiyo na kikomo, zimejikuta hazipati kile zilichotegemea matokeo yake imekuwa ni machafuko ya kupinduana kila Mara na watu wamekuwa wakimbizi wa nchi zao,

2. Pili maandalizi ya September 1 yameingiliwa na JWTZ jambo ambalo ni hatari zaidi, chezea kwa kamanda Sirro lakini si kwa Mwamunyange, yani hujui kusoma hata picha huoni kuwa huyu ni mbuzi huyo ni kondoo? Kujitolea kwa wanajeshi kufanya usafi we upite na mabango yako unaleta FYOKOFYOKO zako na unachafua tena aisee, patella will be dislocated in your body system, ni bora ni kakaa nyumbani kwangu tu.

3. Majukumu yanayonikabili
Majukumu niliyonayo kikazi ni mengi sana, kuna familia na kusomesha watoto, nina wategemezi kibao, nina mipango mingi sana mbeleni sioni sababu ya kufupisha maisha yangu kisa namsaidia LOWASSA na MBOWE kutimiza azima zao.
NOTE THAT ikitokea nikafa kama Mwangosi, au Alphonce Mawazo, nitaishia kutumika kwenye kumbukumbu za kuleta umaarufu wa chama lakini ipo siku wana CHADEMA watanisahau na kutelekeza familia yangu.

4. Tuheshimu katiba ya nchi yetu, ambayo kuna majukumu na wajibu wa raia, ikiwemo kutii sheria na amri za wakubwa akiwemo mkuu wa nchi ambaye kimaandishi hayuko juu ya sheria lakin kiuhalisia neno lake lolote ni sheria, sipaswi kupingana naye, ni wengi kama 30% ya watanzania wanaonekana kumpinga lakini ndiyo rais, hata angepingwa na 90% lakini ameshakuwa rais wetu.

5. Tukio la Jana kati ya lowassa na mheshimiwa Rais limenionesha kuwa wenda hawa wakubwa wanaelewana vizuri tu ila sisi ndiyo madaraja ya kufikia malengo yao, hivyo naamini ipo siku moja nitakuwa katika ngazi fulani kuwatetea wananchi kwa moyo wa dhati hivyo sipaswi kufupisha maisha yangu kwa kuwa daraja la wengine.

NB: Ukizingatia mzee Mkapa ndo alimkata Lowassa baada ya wengine kuwa na kigugumizi July 11, 2015, lakini Lowassa hakujali hayo kaenda kwenye Jubilee yake, siasa si uadui.

6. Muda wa Rais Magufuli madarakani ni mfupi mno kulipo uwepo wa Tanzania, mh Magufuli hawezi kuongoza nchi zaidi ya mwaka 2026, hivyo ngoja tumvumilie tu kama tulivyo wavumilia wengine na madhaifu yao, na huyu mheshimiwa tumvumilue tu muda wake utapita na watanzania watakuwa wameshapata mwamko zaidi juu ya nini wanakitaka toka kwa kiongozi anayechaguliwa na watakuwa na uwezo wa kupima.

7. Matamko ya viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali, matamko ya viongozi wa dini, wawakilishi wa Mungu hapa duniani wametuasa tusifanye maandamano na si vema kuandamana wakati viongozi wenye maono ya Mungu wametuhasa na wanayajua madhara yake.

8. Mimi kama mtanzania niwe mkweli sitaki demokrasia ila nataka wanangu wale washibe, wasome bure, nikitaka kusafiri ndani na nje ya nchi usafiri uwepo, nataka ulinzi, matibabu, maji safi, barabara, umeme, uhuru wa kutembea bila kukabwa na majambazi, kuongezeka kwa kipato changu, kupata huduma kwa haraka bila urasimu, sipendi mazingira ya rushwa yaendelee kuweko, nataka huduma bora, bei ya vitu ishuke, ila sitaki demokrasia alafu nkayakosa hayo. Hivyo ikitokea Rais Magufuli akaninyima nilivyotaja hapo juu naomba nishirikishwe maandamano yasiyo na kikomo, hapa sitamsikiliza yeyote.

9. Familia yangu na ukoo tupo watu 67 kuanzia baba, baba mdogo, mama na mama wadogo na watoto wao, kwa tafiti ndogo niliyofanya wapo wafuasi wa CCM 21 CHADEMA 23, TLP 2 na wengine hawana vyama, nikajiuliza tukiingia barabarani kupingana na kurushiana mawe kumbe kuna uwezekano ukakuta namtupia mzee jiwe la kisogo, naomba Mungu aepushe hiki kukombe,

Hizo ndizo sababu zangu za msingi zilizonifanya kubadili maamuzi ya kuandamana.
 
WAla wewe si WA upande huo, duniani pote mabadiriko huletwa Na wachache tena wanaotukanwa! Msalaba hukuwa Kwa ajili ya wote ila mmoja lakini Leo ni heshima Kwa wakristo
 
Unaposema duniani, kwa dunia ya leo unamaanisha kama wapi na wapi?
 
tarehe 16 aug ulikuja na mada yenye kichwa ni ngumu kuipigia kura chadema 2020

Yaan unategemea. Mwaka 2020 nijipange folen kuwapigia tena wapuuzi kura yangu ,yaan nitakuwa sifikirii vizuri kama alivyi Ben saanane, au Mtatiro na wengine.
Hii CHADEMA imekuwa ya
1. Kutetea mafisadi, wamemtetea lowassa na wengineo kila atakaye toka ccm kwa kashfa kwao ni mgeni rasmi
2. Inatetea wezi wa raslimali za umma, MTU akifukuzwa anatetewa
3. Watetezi wa wazembe kazini
4. Watetezi wa mashoga na nyimbo au maadili feki maana vituo vikifungiwa kwa kuhoji mashoga wanawatetea
5. Watetezi wa wakwepa kodi kama kitilya
6. Watetezi wa wanadhilifu wa Mali ya umma
7. Watetezi wa umwagaji damu
8. Watetezi wa kudidimiza maendeleo kwa kuwaambia watu wasichangie madawati
9. Wachochezi baina ya RAIA kwa RAIA
10. Wanaoombea taifa likwame katika ukusanyaji mapato
11. Wanaotetea wawekezaji wakubwa kuwanyanyasa wadogo pale chato
12. Wanaoshangilia upuuzi na kuwahadaa vijana kuandamana uku wao wamelala Dubai ili vijana waumie
13. Wanaopinga upanuzi wa barabara jaman
14. Kutetea wafanyakazi hewa imewatetea,

Ukiwauliza eti rais amewatumbua bila kufuata taratibu ni ujinga huu, au CHADEMA siyo wafuatiliaji wa zuri wa mambo ya nje?

Tunavyoongea hapa rais wa ufilipino amesema endapo mahakama itaingilia juhudi zake za kupambana na madawa ya kulevya nchi itatawaliwa kijeshi, sembuse hapa magufuli anafanya mambo safi na anafuata taratibu, je huyo wa Filipino alofika hatua ya kutishia kutawala kijeshi,?
Mnasema magufuli anaingilia maamuzi ya bunge na katiba , Sawa ngoja aingilie maana anaingilia kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Ukishabikia chama Cha namna hii we ni mjinga sana, na nafsi itakusuta kamwe

ushauri wangu uza viungo vyako ulivyopanga kuviuza
 
Wanajamii wenzangu habari za mda huu,
Kufuatia tangazo ambalo tulitangaziwa na mwenyekiti wetu bwana alikaeli mbowe kuwa September moja ni siku ya maandamano nchi nzima nilikuwa kwenye maandalizi ya kuandamana lakin ntaomba mnisamehe SITAFANYA MAANDAMANO HAYO.
Sababu kuu za kunifanya nisiandamane ni hizi
1. Amani ya nchi Yetu, nimefuatilia nchi kadhaa zilizoitisha maandamano yasiyo na kikomo, zimejikuta hazipati kile zilichotegemea matokeo yake imekuwa ni machafuko ya kupinduana kila Mara na watu wamekuwa wakimbizi wa nchi zao,
2. Pili maandalizi ya September 1 yameingiliwa na JWTZ jambo ambalo ni hatari zaidi , chezea kwa kamanda sirro lakin si kwa mwamunyange, yaan hujui kusoma hata picha huoni kuwa huyu ni mbuzi Huyo ni kondoo,? Kujitolea kwa wanajeshi kufanya usafi we upite na mabango yako unaleta FYOKOFYOKO zako na unachafua tena haisee ,patella will be dislocated in your body system , ni bora ni kakaa nyumbani kwangu tu,
3. Majukumu yanayonikabili,
Majukumu niliyonayo kikazi ni mengi sana, kuna familia na kusomesha watoto, Nina wategemezi kibao, Nina mipango mingi sana mbeleni sioni sababu ya kufupisha maisha yangu kisa namsaidia LOWASSA na MBOWE kutimiza azima zao,
NOTE THAT ikitokea nikafa kama mwangosi, au alphonce mawazo , nitaishia kutumika kwenye kumbukumbu za kuleta umaarufu wa chama lakin Ipo Siku wana chadema watanisahau na kutelekeza familia yangu,

4. Tuheshimu katiba ya nchi Yetu, ambayo kuna majukumu na wajibu wa raia, ikiwemo kutii sheria na amri za wakubwa akiwemo mkuu wa nchi ambaye kimaandishi hayuko juu ya sheria lakin kiuhalisia neno lake lolote ni sheria, sipaswi kupingana naye , ****** wengi kama 30% ya watanzania wanaonekan kumpinga lakin ndiyo rais, hata angepingwa na 90% lakin ameshakuwa rais wetu.

5. Tukio la Jana kati ya lowassa na Mheshimiwa rais limenionesha kuwa Wenda hawa wakubwa wanaelewana vizuri tu ila sisi ndiyo madaraja ya kufikia malengo yao, hivyo naamini IPO Siku moja ntakuwa katika ngazi fulan kuwatetea wananchi kwa moyo wa dhati hivyo sipaswi kufupisha maisha yangu kwa kuwa daraja la wengine,

NB: ukizingatia mzee mkapa ndo alimkata Lowassa baada ya wengine kuwa na kigugumizi July 11 , 2015, lakin Lowassa hakujali hayo kaenda kwenye jubilee yake , siasa si uadui,

6. Muda wa Magufuli madarakani ni mfupi mno kulipo uwepo wa Tanzania, mh Magufuli hawez kuongoza nchi zaidi ya mwaka 2026, hivyo ngoja tumvumilie tu kama tulivyo wavumilia wengine na madhaifu yao, na huyu mheshimiwa tumvumilue tu muda wake utapita na watanzania watakuwa wameshapata mwamko zaidi juu ya nini wanakitaka toka kwa kiongozi anayechaguliwa ,na watakuwa na uwezo wa kupima ,

7. Matamko ya viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali, matamko ya viongozi wa dini , wawakilishi wa mungu hapa dunian wametuasa tusifanye maandamano na si vema kuandamana wakati viongozi wenye maono ya mungu wametuhasa na wanayajua madhara yake,

8. Mimi kama mtanzania niwe mkweli sitaki demokrasia ila nataka wanangu wale washibe, wasome bule, nikitaka kusafiri ndani na nje ya nchi usafiri uwepo, nataka ulinzi, matibabu, maji safi, barabara, umeme, Uhuru wa kutembea bila kukabwa na majambazi, kuongezeka kwa kipato changu, kupata Huduma kwa haraka bila urasimu, sipendi mazingira ya rushwa yaendelee kuweko, nataka Huduma bora,bei ya vitu ishuke, ila sitaki demokrasia alafu nkayakosa hayo. Hivyo ikitokea Magufuli akaninyima nilivyotaja hapo juu naomba nishirikishwe maandamani yasiyo na kikomo, hapa sitamsikiliza yeyote,

9. Familia yangu na ukoo tupo watu 67 kuanzia baba, baba Mdogo, mama , na mama wadogo na watoto wao, kwa tafiti ndogo niliyofanya wapo wafuasi wa CCM 21 CHADEMA 23, TLP 2 na wengine hawana vyama, nkajiuliza tukiingia barabarani kupingana na kurushiana mawe kumbe kuna uwezekano ukakuta namtupia mzee jiwe la kisogo, naomba Mungu aepushe hiki kukombe,

Hizo ndizo sababu zangu za msingi zilizonifanya kubadili maamuzi ya kuandaman,
mi nakujua vizuri tu wewe we siunauza flani za kijani pale lumumba sasa iweje leo utuambie ulitaka kuandamana kama sikutudanganya pia naskia posho mmeongezewa kwa kazi nzuri mnazofanya mitandaoni
Unaposema duniani, kwa dunia ya leo unamaanisha kama wapi na wapi?
 
mi nakujua vizuri tu wewe we siunauza flani za kijani pale lumumba sasa iweje leo utuambie ulitaka kuandamana kama sikutudanganya pia naskia posho mmeongezewa kwa kazi nzuri mnazofanya mitandaoni

Unasema "duniani kote mabadiliko huletwa na wachache" lete majibu dunia ya leo sehemu gani wameleta mabadiliko kwa maandamano???
swali dogo, mara Lumumba mara tshirt.
 
tarehe 16 aug ulikuja na mada yenye kichwa ni ngumu kuipigia kura chadema 2020

ushauri wangu uza viungo vyako ulivyopanga kuviuza
Kwani kila aliyetakiwa kuandamana ni chadema? Mi ni CUF Mwana UKAWA
 
Wanajamii wenzangu habari za mda huu,
Kufuatia tangazo ambalo tulitangaziwa na mwenyekiti wetu bwana alikaeli mbowe kuwa September moja ni siku ya maandamano nchi nzima nilikuwa kwenye maandalizi ya kuandamana lakin ntaomba mnisamehe SITAFANYA MAANDAMANO HAYO.
Sababu kuu za kunifanya nisiandamane ni hizi
1. Amani ya nchi Yetu, nimefuatilia nchi kadhaa zilizoitisha maandamano yasiyo na kikomo, zimejikuta hazipati kile zilichotegemea matokeo yake imekuwa ni machafuko ya kupinduana kila Mara na watu wamekuwa wakimbizi wa nchi zao,
2. Pili maandalizi ya September 1 yameingiliwa na JWTZ jambo ambalo ni hatari zaidi , chezea kwa kamanda sirro lakin si kwa mwamunyange, yaan hujui kusoma hata picha huoni kuwa huyu ni mbuzi Huyo ni kondoo,? Kujitolea kwa wanajeshi kufanya usafi we upite na mabango yako unaleta FYOKOFYOKO zako na unachafua tena haisee ,patella will be dislocated in your body system , ni bora ni kakaa nyumbani kwangu tu,
3. Majukumu yanayonikabili,
Majukumu niliyonayo kikazi ni mengi sana, kuna familia na kusomesha watoto, Nina wategemezi kibao, Nina mipango mingi sana mbeleni sioni sababu ya kufupisha maisha yangu kisa namsaidia LOWASSA na MBOWE kutimiza azima zao,
NOTE THAT ikitokea nikafa kama mwangosi, au alphonce mawazo , nitaishia kutumika kwenye kumbukumbu za kuleta umaarufu wa chama lakin Ipo Siku wana chadema watanisahau na kutelekeza familia yangu,

4. Tuheshimu katiba ya nchi Yetu, ambayo kuna majukumu na wajibu wa raia, ikiwemo kutii sheria na amri za wakubwa akiwemo mkuu wa nchi ambaye kimaandishi hayuko juu ya sheria lakin kiuhalisia neno lake lolote ni sheria, sipaswi kupingana naye , ****** wengi kama 30% ya watanzania wanaonekan kumpinga lakin ndiyo rais, hata angepingwa na 90% lakin ameshakuwa rais wetu.

5. Tukio la Jana kati ya lowassa na Mheshimiwa rais limenionesha kuwa Wenda hawa wakubwa wanaelewana vizuri tu ila sisi ndiyo madaraja ya kufikia malengo yao, hivyo naamini IPO Siku moja ntakuwa katika ngazi fulan kuwatetea wananchi kwa moyo wa dhati hivyo sipaswi kufupisha maisha yangu kwa kuwa daraja la wengine,

NB: ukizingatia mzee mkapa ndo alimkata Lowassa baada ya wengine kuwa na kigugumizi July 11 , 2015, lakin Lowassa hakujali hayo kaenda kwenye jubilee yake , siasa si uadui,

6. Muda wa Magufuli madarakani ni mfupi mno kulipo uwepo wa Tanzania, mh Magufuli hawez kuongoza nchi zaidi ya mwaka 2026, hivyo ngoja tumvumilie tu kama tulivyo wavumilia wengine na madhaifu yao, na huyu mheshimiwa tumvumilue tu muda wake utapita na watanzania watakuwa wameshapata mwamko zaidi juu ya nini wanakitaka toka kwa kiongozi anayechaguliwa ,na watakuwa na uwezo wa kupima ,

7. Matamko ya viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali, matamko ya viongozi wa dini , wawakilishi wa mungu hapa dunian wametuasa tusifanye maandamano na si vema kuandamana wakati viongozi wenye maono ya mungu wametuhasa na wanayajua madhara yake,

8. Mimi kama mtanzania niwe mkweli sitaki demokrasia ila nataka wanangu wale washibe, wasome bule, nikitaka kusafiri ndani na nje ya nchi usafiri uwepo, nataka ulinzi, matibabu, maji safi, barabara, umeme, Uhuru wa kutembea bila kukabwa na majambazi, kuongezeka kwa kipato changu, kupata Huduma kwa haraka bila urasimu, sipendi mazingira ya rushwa yaendelee kuweko, nataka Huduma bora,bei ya vitu ishuke, ila sitaki demokrasia alafu nkayakosa hayo. Hivyo ikitokea Magufuli akaninyima nilivyotaja hapo juu naomba nishirikishwe maandamani yasiyo na kikomo, hapa sitamsikiliza yeyote,

9. Familia yangu na ukoo tupo watu 67 kuanzia baba, baba Mdogo, mama , na mama wadogo na watoto wao, kwa tafiti ndogo niliyofanya wapo wafuasi wa CCM 21 CHADEMA 23, TLP 2 na wengine hawana vyama, nkajiuliza tukiingia barabarani kupingana na kurushiana mawe kumbe kuna uwezekano ukakuta namtupia mzee jiwe la kisogo, naomba Mungu aepushe hiki kukombe,

Hizo ndizo sababu zangu za msingi zilizonifanya kubadili maamuzi ya kuandaman,

threads zako zenyewe ni ushahidi tosha kuwa hujawahi na haitatokea wewe kujiunga na mapambano ya ukawa au chadema. ona hii thread yako hapa chini

Ni ngumu na ni aibu kujipanga foleni mwaka 2020 kuwapigia CHADEMA kura
 
Mkuu hiyo no2 kiboko niko kwenye daladala nimetoa kicheko Abiria wote wamenigeukia,ikabidi nimsomee wa pembeni yangu naye anavunja mbavu daladala lote wanacheka
 
kwa nini usiwe mvumilivu kwa kusimamia mile ulichokiamini na kukiandika hapa chini

Pamoja na mapungufu ya Magufuli ilibidi nimchague maana ndo alikuwa na angalau kati ya waliogombea
Ningeandamana kwa kushinikiza afanye mengineyo

Kaa ukijua kwamba
1. Si wote walompigia kura magufuli ni ccm, wengine tuko wapinzani
2. Haimaanishi ukimchagua MTU awe kiongozi kuwa huwez kumkosoa , yapo mengi ya kumkosoa
3. Pia hayo mapungufu nlosema ndo nilikuwa naenda kuandamana ayarekebishe,
4. Ndo alikuwa na uafadhali, angepita lowassa ningeandamana siku hiyo hiyo
 
Mkuu hiyo no2 kiboko niko kwenye daladala nimetoa kicheko Abiria wote wamenigeukia,ikabidi nimsomee wa pembeni yangu naye anavunja mbavu daladala lote wanacheka
Hehehehe ipi
 
Back
Top Bottom