Nimeanzisha promotion company and event management, nahitaji connection

kimwelage

Member
Oct 13, 2012
55
20
Ndugu wanajamvi katika kupambana na ujasiriamali nimeanzisha kampuni inayopromote various brands,event management.
kikubwa nahitaji connection ili mwenye ideaz where jobs are aniupdate,ukileta kazi utapewa commision yako.
 
andaa blog yako kwanza, and niwekeze kwemye matangazo na kuanza kufanya hata kazi ndogondogo locals kutoka kwa wadau unaofahamiana nao ili upate pa kusimamia
 
Ndugu wanajamvi katika kupambana na ujasiriamali nimeanzisha kampuni inayopromote various brands,event management.
kikubwa nahitaji connection ili mwenye ideaz where jobs are aniupdate,ukileta kazi utapewa commision yako.

Biashara nzuri sana na nishawahi kufanya kaz kwenye moja ya advertising agency kubwa. So far nachofahamu ktk hii industry ili ipendwe na wateja ni vzr kuwa na office kali ya kibishoo, iliyorembwa vzr sana. Wafanyakaz wacheshi, wenye ushirikiano, wanaofahamu kaz vzr sana. Kwenye mavaz ndo kichekesho, nakumbuka siku ya kwanza nilimuuliza hr manager kuhusu mavaz akanijibu naruhusiwa kuvaa vyovyote navyotaka ILA USIWE MCHAFU TU. Mwanangu jamaa walikua wanapiga pamba watakavyo but decent. Kimsingi kampuni inafanya consultation tu ktk utendaji kampuni in a outsource other companies bidhaa pekee tuliyokua tunazalisha ni matangazo ya radio tu.
Ushauri wangu kama unahakika na kampuni yako itangaze vzr andaa sherehe ndogo tena ofisn kwenu waalike brand managers, boresha tangazo lako humu ndani, kuwa na jina na logo zinazovutia, kuwa na brainstorming na wafanyakazi wako kuhusiana na bidhaa yoyote uone nini wanafikiria alaf boresha then kajaribu kuuza kwa kampuni husika na mengineyo mengi. Naipenda sana hii industry....:flame:
 
Thanks wakuu kwa ushauri wenu,ngoja nifanye baadhi ya mambo then nitawapa feedback.but thanks indeed
 
Biashara nzuri sana na nishawahi kufanya kaz kwenye moja ya advertising agency kubwa. So far nachofahamu ktk hii industry ili ipendwe na wateja ni vzr kuwa na office kali ya kibishoo, iliyorembwa vzr sana. Wafanyakaz wacheshi, wenye ushirikiano, wanaofahamu kaz vzr sana. Kwenye mavaz ndo kichekesho, nakumbuka siku ya kwanza nilimuuliza hr manager kuhusu mavaz akanijibu naruhusiwa kuvaa vyovyote navyotaka ILA USIWE MCHAFU TU. Mwanangu jamaa walikua wanapiga pamba watakavyo but decent. Kimsingi kampuni inafanya consultation tu ktk
utendaji kampuni in a outsource other companies bidhaa pekee tuliyokua tunazalisha ni matangazo ya radio tu.
Ushauri wangu kama unahakika na kampuni yako itangaze vzr andaa sherehe ndogo tena ofisn kwenu waalike brand managers, boresha tangazo lako humu ndani, kuwa na jina na logo zinazovutia, kuwa na brainstorming na wafanyakazi wako kuhusiana na bidhaa yoyote uone nini wanafikiria alaf boresha then kajaribu kuuza kwa kampuni husika na mengineyo mengi. Naipenda sana hii industry....:flame:

nimeupenda ushauri wako kaka nadhan utahusika kwangu pia na mmi nina kikampuni changu ndo kina miez mitatu hewani
 
Biashara nzuri sana na nishawahi kufanya kaz kwenye moja ya advertising agency kubwa. So far nachofahamu ktk hii industry ili ipendwe na wateja ni vzr kuwa na office kali ya kibishoo, iliyorembwa vzr sana. Wafanyakaz wacheshi, wenye ushirikiano, wanaofahamu kaz vzr sana. Kwenye mavaz ndo kichekesho, nakumbuka siku ya kwanza nilimuuliza hr manager kuhusu mavaz akanijibu naruhusiwa kuvaa vyovyote navyotaka ILA USIWE MCHAFU TU. Mwanangu jamaa walikua wanapiga pamba watakavyo but decent. Kimsingi kampuni inafanya consultation tu ktk utendaji kampuni in a outsource other companies bidhaa pekee tuliyokua tunazalisha ni matangazo ya radio tu.
Ushauri wangu kama unahakika na kampuni yako itangaze vzr andaa sherehe ndogo tena ofisn kwenu waalike brand managers, boresha tangazo lako humu ndani, kuwa na jina na logo zinazovutia, kuwa na brainstorming na wafanyakazi wako kuhusiana na bidhaa yoyote uone nini wanafikiria alaf boresha then kajaribu kuuza kwa kampuni husika na mengineyo mengi. Naipenda sana hii industry....:flame:

Nyie ndo watu wakutafutwa sasa ila mkuu kwanini hukuanzisha na wewe yako kama unajua yote hayo?
 
Nyie ndo watu wakutafutwa sasa ila mkuu kwanini hukuanzisha na wewe yako kama unajua yote hayo?[/QUOTE

We nitafute tu mkuu

Kiukweli sikuwai kufikiria kuingia ktk service industry kama hii advertising industry, siku zote akili na mawazo yangu yapo ktk manufacturing business.
Hata hivyo nadhan nilikua so stressed kiasi kwamba sikuweza kupata utulivu wa akili nilipokua hapo dar, nipo nje ya nchi ntarudi mwez wa 2 au 3 nimerelax kiasi cha kutosha na akili inafanya kazi sawa sawa mpaka nashangaa kuna fursa nyingi tu mojawapo hii advertising industry kwa nn sikuzifanyia kaz.

Inshahallah nikirudi ntaangalia nianze vp!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom