miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 May 23, 2015 #101 MOTOCHINI said: Matatizo tu Click to expand... mipango tu
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,976 Reaction score 14,814 May 23, 2015 Thread starter #102 unbelievable said: hii sasa ni kufru. Click to expand... polee!!
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 May 23, 2015 #103 nzalendo said: Nashukuru mungu sana. Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed. Shukrani. Click to expand... Bora mkuu kuvuta bangi kuliko kuvuta kamba.
nzalendo said: Nashukuru mungu sana. Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed. Shukrani. Click to expand... Bora mkuu kuvuta bangi kuliko kuvuta kamba.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 May 23, 2015 #104 Unbelievable said: Hii sasa ni kufru. Click to expand... Kufuru ni kuwaita akina fulani watakatifu huku hatujui kwa hakika habari zao, kufuru ni kuwaita watu wa mbari fulani wateule wa mungu. Alazwe pema mtakatifu Marley!
Unbelievable said: Hii sasa ni kufru. Click to expand... Kufuru ni kuwaita akina fulani watakatifu huku hatujui kwa hakika habari zao, kufuru ni kuwaita watu wa mbari fulani wateule wa mungu. Alazwe pema mtakatifu Marley!
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,736 Reaction score 2,402 May 23, 2015 #105 MOTOCHINI said: Mpepole ndugu Click to expand... pole ya nini? mimi niko hapa natafuna viroba vyangu bila bugudha, kwa nini tusimpe uhuru na yeye na mjani wake? legalize the herb
MOTOCHINI said: Mpepole ndugu Click to expand... pole ya nini? mimi niko hapa natafuna viroba vyangu bila bugudha, kwa nini tusimpe uhuru na yeye na mjani wake? legalize the herb
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,097 Reaction score 35,476 May 23, 2015 #106 Rene Jr. said: pole ya nini? mimi niko hapa natafuna viroba vyangu bila bugudha, kwa nini tusimpe uhuru na yeye na mjani wake? legalize the herb Click to expand... Du! ok pw
Rene Jr. said: pole ya nini? mimi niko hapa natafuna viroba vyangu bila bugudha, kwa nini tusimpe uhuru na yeye na mjani wake? legalize the herb Click to expand... Du! ok pw
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,097 Reaction score 35,476 May 23, 2015 #107 miss chagga said: mipango tu Click to expand... Kumbe pw