sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Habarini watanzania wenzangu
Hakuna kitu kilikuwa kinaniumiza kama wapinzan kususia Bunge, ilipelekea hatua ya kuwachukia wakati mwingine, nilikuwa najiuliza kwa nini wanafanya hivi hawa watu wazima, ila utawala huu nimepata jibu,
Nimegundua kumbe wapinzani wanajua mumbo mengi yanayoendelea serikali kuliko wananchi, hivyo wakiona ukweli unapindishwa na hawapewi nafasi ya kusikilizwa huwaamua
Kutoka Nje, nimefikilia kwa mijadala last nishati na madini huwa inawatoa nje, nikafikili wizara hiyo hiyo ndio iliyopitisha mikataba na Acacia, na leo tunawalaumu wanatuibia, inaamana maprofesa waliokuwepo hawakuisoma mikataba , wizara hii ndio imepitisha mikataba ya gas kwa dharula hadi leo hatujui mwisho wa gas, na mikataba mingi ya Madini tunanyonywa, haya yote ni kwa ajili ya ubanifsi wa kujiona wao ni bora, mawazo ya upinzani yanatupwa kwa box hayafuatwi hata kama yakiwa mazuri, wanatumia uwingi wao kupitisha mikataba na sheria ambazo hazina Tija kwa taifa, wako busy kujilinda kuliko kukuza uchumi, ingekuwa mawazo ya upinzani yanasikilizwa na ingekuwa wanashirikishwa kwenye mikataba sidhani kama leo Baba juma angesifiwa kwa kumchapa Juma kwa kosa la wizi wakati, tangu juma yuko mdogo hakuwai kumchapa, na alikuwa na tabia hiyo hiyo ya wizi, sioni sababu ya kuisifia hii familia Maana imeambiwa sana kuhusu tabia zao na walikuwa na dharau, sasa wanajitekenya na kucheka wenyewe,
Namalizia kwa kusema nimeelewa kwa nini upinzani hususia Bunge Maana hata kama wakibaki ni wachache hawawezi kuzishinda ndiooo za Wengi, hivyo bora wajitenge na uovu unaofanywa na wengi