Nimeanza kuogea Omo baada ya harufu mbaya kwenye korodani kukataa kutoka mwilini mwangu

Mkuu? Umejaribu kwenda kuoga bahari? Mida ya saa kumi na moja hadi 12 jioni. Mara saba kila siku. Pole sana
 
jipake mafuta ya bange

au tumia kiasi kidogo sana cha jik ukichanganya na maji kila ukioga
 
Mbona kama hi habari naiona humu jukwaani kwa mara ya pili. Je ni wewe au ni mtu mwingine kaibuka na hili tatizo.
 
Korodani zipo vizuri lakini baada ya masaa kadhaa nikizipikicha zinakuwa kama zina ukurutu hivi au jasho lililo gandia. Cha ajabu kwenye korodani zangu nikitoka kuoga tu nikazifuta nasikia kama zinanata nata. Sasa sijajua kama na wengine wote wapo hivyo?
Mkuu sikia ebu tunaomba picha ya eneo lililoathirika apo ndo utapewa matibabu sahihi kwan uwa atutibu kwa maelezo fanya ivyo kaka
 
Fuata huu ushauri Anza kutumia mafuta ya Nazi kujipaka asubhi na usiku ukitaka kulala. Paka sehemu za Siri kote halafu ulete feedback hapa.
Mafuta ya nazi nimetumia kama mwaka mzima hakuna kitu. Na ukiyatumia sana yanakuchana chana ngozi ya pumbu.
 
Pole mkuuu... naona umeshajitahidi saaana kupona lkn wapi.


Ulishawahi kuogea ukoko wa ugali???

Yaaan ukishapika ugali, lile sufuria uloogea , weka maji acha yachangamane na ukoko kisha yaogeee hayo maji yakiwa ndani ya sufuria iloilo, hakikisha maji hayo yaukouko unayasafishia sehem ambazo harufu inatokea.

( nasikiaga wanasema inasaidia ).
Niliwahi kuogea ukoko wa ugali kwa muda wa mwezi mzima lakini hakuna unafuu wowote.
 
Pole sana kwa unayopitia hayo. Hili swala watu wengi wanalichukulia rahisi lakini kiukweli ni mateso makubwa mno. Mimi pia ni mhanga wa jambo kama lako kwa miaka 14 sasa kitu ambacho kimeniharibia utu na maisha yangu kwa ujumla.Naishi kama mnyama asiweza kujiswafi licha ya hali ya usafi ninayo kuwa nayo mda wote..
Mkuu asante kwa hili. Nitakutafufa inbox tusaidiane namna ya kupambana na hili tatizo.
 
kuna mtabibu mmoja wa dawa asili ninamfahamu, aliwahi nipa dawa ya ngozi / fungus ni nzuri sana. nilimnunulia mtu wangu wa karibu aliweza pona fungus iliomtesa kwa mda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom