Nimeanza kuogea Omo baada ya harufu mbaya kwenye korodani kukataa kutoka mwilini mwangu

Pole sana kwa unayopitia hayo.Hili swala watu wengi wanalichukulia rahisi lakini kiukweli ni mateso makubwa mno.Mimi pia ni mhanga wa jambo kama lako kwa miaka 14 sasa kitu ambacho kimeniharibia utu na maisha yangu kwa ujumla.Naishi kama mnyama asiweza kujiswafi licha ya hali ya usafi ninayo kuwa nayo mda wote..i
Haiwezekani! Wakati mwingine tatizo la kuhisi harufu huwa ni la kisaikolojia kuliko uhalisia.

Vinginevyo umuone daktari wa ngozi aangalie nini kinazalishwa kwenye hiyo ngozi ya pumbu.

Labda hormones fulani!
 
Sina fangus wala chembe chembe za fangus lakini dawa za fangus nilitumia sana hola.
Usiseme kirahisi rahisi tu kwamba huna fungus! Unajidanganya!

Fungus ni sugu kuliko kitu chochote! Unatakiwa kutumia dawa za kupaka na kunywa tena kwa muda mrefu si chini ya mwezi mzima!
 
Pole jamani nakuonea huruma maana harufu Tu ya kijambo mtu unakosa Amani mbele ya watu sembuse hiyo ya kudumu.. onana na wataalamu wa ngozi sehemu tofauti unaweza pata ushauri juu ya shida yako
 
korodani zako zimeathirika na fangasi sugu kutokana na uchafu. Tumia dettol kuosha pumbu zako kisha paka dawa ya gentrisone kutwa mara mbili kwa wiki mbili tafadhali
 
Kwa kweli inaunguza sana. Leo nitajaribu nione tena. Nikishatumia omo huwa nakaa kwenye beseni kutuliza maumivu ya kuunguzwa. Omo ni kali sana unaweza sema unakatwa na wembe.
Achana na matumizi ya omo, naona kama unaongeza tatizo kwa namna moja au nyingine.....Fata ushauri wa wataalamu wa ngozi au afya ya uzazi..!


NB:Maombi nayo muhimu
 
Back
Top Bottom