Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Baada ya muda gani?Weka akiba angalau 30k Kila mwezi,usijinyime sana ukapata magonjwa ya afya ya akili.
30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsenseWeka akiba angalau 30k Kila mwezi,usijinyime sana ukapata magonjwa ya afya ya akili.
Vibiashara vya hapa na pale mkuu.Hongera kwa kupata ajira.
note this, mdogo wako hana vision na ari uliyonayo, expect anything, hata kurudishwa nyuma, mdogo wako ana passion gani? kidogo ukikijua anachopenda anaweza kujitahidi
Sipo home mkuu nimepanga gettoTuliza akili ,inaonekana una papara sana,kama Bado upo home mshahara utakutosha kabisa kuanza biashara ,vinginevyo ni kuvumilia kama unaenda kupanga.
Toa maelezo kamili uliwezaje.30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense
Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
Kwanini mkuuMIMI ILICHUKUA MIAKA 7 KUJIAJIRI
Ushapata mshahara hata mmoja?Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehem je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakin sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo. Nipo private sector hatuna Muda. Asanteni.
Kwaiyo ulikua unatumia 50k kwa mwezi(chakula nauli kodi)30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense
Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
Sio rahisi nilijinyima tu nikakamilisha lengo mean kwa mahahara wa 300K ninakufanyia Savingi ya zaidi ya 100K kila mwezi na nyumbani nasaidia vilevileToa maelezo kamili uliwezaje.
Nina uwezo wa kusave 170 kwa mweziUshapata mshahara hata mmoja?
ume save kiasi gani baada ya matumizi?
nakushauri anza kukopesha (dhamana iwe vitu bondi)
biashara ya kuweka mtu utafilisika
Ulikua umepanga? Ulikua unajitegemea chakula? Vp kuhusu nauli? Toa maelezo kidogoSio rahisi nilijinyima tu nikakamilisha lengo mean kwa mahahara wa 300K ninakufanyia Savingi ya zaidi ya 100K kila mwezi na nyumbani nasaidia vilevile
Kula niliweka Bill ya 10,000 nakula mwezi mzima huko job, nauri ni 1000 kwenda na kurudi simple as thatKwaiyo ulikua unatumia 50k kwa mwezi(chakula nauli kodi)
kujiajiri si makalio kila mtu anayoKwanini mkuu
Hahah kaka maprivate haya kaka time time