Unasema "utawaloga wachawi wenzio tu " halafu hapo hapo unasema uchawi hauamini kabisa, which is which and which is not which? How can you contradict yourself in less than 5 minutes? Anyway kinacho determine mtu kulogwa au kutokulogwa is not whether u believe in witchcraft or not ? Kama ulikuwa unadhani ukiamini au kufikiri kuwa uchawi hauwezi kuwa na nguvu kwako ndio kinga ya uchawi, utakuwa unajidanganya sana!Utawaloga wachawi wenzio tu, mie nina Jah!
Uchawi kwangu hauna nafasi na siuamini kabisa
unajifunza uchawi halafu unataka usaidie watu tena!
Fear Not!