njujujr
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 684
- 468
Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na app developer.
Nimekuwa napenda kufatilia tutorials mbali mbali you tube kujifunza kwa wiki mbili sasa najua itanichukua muda hata miaka mwili.
Naomba ushauri kama kuna lolote la kupitia katika taaluma hii ni kipi uzuri na idea kidogo na kutokana na nilichosomea.
Ushauri wenu wajuzi zipi changamoto zilizopo katika fani hii.