Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,755
- 72,640
Kutoka Kataa Ndoa mpaka kuoa single Mother.....๐ ๐Ndugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Baadhi lakini sio Wote.Wanawake wajanja,wenye akili za maisha,mahustler wote ni singo mama
Singo mama hakwepeki
Kujidai tu umeshanasa๐Ndugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Hao wametaka kulea watoto wasio wao. Siku hizi ukilea mtoto asiye wako basi jua wewe taahira.Oa mwaego wanakuonea wivu tu, hakunaga formula ya maisha, walioa wasio masingle mom na wanalea watoto wasio wao maana wake zao full kuchepuka, my dear kama anakupenda, anakujali, anakuheshimu ....
......dadako nakishauri oa huyo mwanamke
Futa hii kituWanawake wajanja,wenye akili za maisha,mahustler wote ni singo mama
Singo mama hakwepeki
Tena ujingaHao wametaka kulea watoto wasio wao. Siku hizi ukilea mtoto asiye wako basi jua wewe taahira.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sio kila single mother hafai kuowa, wapo wengine wazuri na wananaojitambua kikubwa ni wewe kwa muda uliofahamiana naye uangalie vigezo unavyovitaka pia sikiliza moyo wako usisikilize wanaokuponda hapa maana hata wao hawakuowa mabikira.Ndugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
๐๐๐๐๐ Incubatorsingle mother ni wakumgawia mbegu tu watu wasiishe..hio ni incubetor.... ukiipeleka kwa familia anaenda kutia doa kubwa hata kama huyo mama ana hela kiasi gani...
Acha Roho mbaya we jinga kwani single mother ni ugonjwa Nyau weweKwisha habari yako, Single Mother hutakiwi sio kuoa tu, hata kudate nae mwiko, kimbia haraka sana, hiyo ni red flag nyeupe kabisa hiitaji discussion
Ukioa single mother hakikisha umeona;Muhimu heshima na mapenzi ya kweli unaweza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake.
Wakati mitaani ndio wake zao,na ada wanalipa๐๐๐Huku JF Single Maza hawajawahi kupendwa.. Interesting ๐
tunawaona mtaani wengi sanaWakati mitaani ndio wake zao,na ada wanalipa๐๐๐