Unaogopaje single mother? Wanaume tulio kamilika hatuogopi wanawake akizingua unapiga chini unachukua chombo ingine basiSingo maza ni salufyuriki acid...kuoa hao ni sawa na kuchukua utajiri wa punje...mapenz yamekupofusha had akili,anyway all the best ktk safar ya golgota
Haupo serious! Miezi miwili ulikuwa unatafuta sasa umezoea! Hata hiyo K umeila siku ngapi?Ndugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Ndugu zangu,

hongera sana umepata maliNdugu zangu,

sio kwamba naogopa,ila mpaka ufikie hatua ya kupga chini,hakika unakua hoi bin taabani....kinga ni bora kuliko tibaUnaogopaje single mother? Wanaume tulio kamilika hatuogopi wanawake akizingua unapiga chini unachukua chombo ingine basi
🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee nimeelewa lengo la hii comment.Mi naona ingekuwa heri ungeandika haya wakati ushamwoa....ila hili laweza kukufanya usitimize malengo.
Ngoja waje wasagia kunguni
Aseee,asalamaleko!Hakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Umeshaambiwa jina umedanyanywa we vipi?Dah maelezo ndio hayo kasoro jina huyu ni muislam ana lafudhi ya kimombasa
Tuko tofauti sana mimi inshu kama hizi hazinisumbui kabisa ili mradi niwe nimepata data zangu za kutosha/ I mean taarifa za kujiridhisha basi, yaani kwanza hiyo misukosuko nitakayo mpatia anaweza kuondoka tu mwenyewe kabla hata sijamfukuza .....na kuna mmoja nilisha mpiga chini hakuamini mpk leosio kwamba naogopa,ila mpaka ufikie hatua ya kupga chini,hakika unakua hoi bin taabani....kinga ni bora kuliko tiba
Sababu kubwa ya kuachana kwao ni baada ya mkenya kumnyima ukuni mkewe, aliporudi akiwa chakaliMuhimu heshima na mapenz ya kweli unaeza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake
Tatizo kwa single mother sio njaa. Tatizo ni pale anapokutana na mzazi mwenzie unachapiwa mchana kweupe. Halafu bora ungekubali kumsomesha huyo mtoto kuliko kuacha asomeshwe na baba yake maana watakuwa wanawasiliana na mkeo halafu wakienda visiting day wanapashamo kiporoHuyu ana kazi zake sio njaa njaa
Fuata moyo wakoMuhimu heshima na mapenz ya kweli unaeza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake
"lazima uone kaburi" heshimu maamuzi ya kikao [emoji16]
dah!hawa raia ni changamoto kiukwel,na wamekuwa weng haswa kias kwamba ni UNIKWEPABO...Tuko tofauti sana mimi inshu kama hizi hazinisumbui kabisa ili mradi niwe nimepata data zangu za kutosha/ I mean taarifa za kujiridhisha basi, yaani kwanza hiyo misukosuko nitakayo mpatia anaweza kuondoka tu mwenyewe kabla hata sijamfukuza .....na kuna mmoja nilisha mpiga chini hakuamini mpk leo