Nimeanguka kwenye penzi la mume wa mtu

Nimeanguka kwenye penzi la mume wa mtu

Hivi wanaume wameisha mpaka mume wa mtu . Laana za kujitakia halafu baadae unalilia watu kuwa una mkosi maana hupati mume achana na mume wa mtu , tafuta wako.
 
Usihofu siku si nyingi,mwenzio pia ataangukia kwenye penzi la huyohuyo mume wa mtu(wako). Unadhani wewe ndo utaweza kumtuliza?
 
Subiri na wewe uolewe mumeo atembee na vimada utakavyoumia roho wakati wewe unatembea na waume za wanawake wenzio
 
Kama anakupenda atakulinda! Hahahahaha.....endelea mama! Ufundi unatofautiana....labda huyo fundi wa mafundi
 
Hata wewe ukimpata yupo utakaye share naye!!! Usimfanyie roho mbaya huyo atakaye share na wewe! Mapenzi mwendo kasi haya
 
Back
Top Bottom