Nimeandikiwa msg hii!

Nimeandikiwa msg hii!

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,351
Copied;

Habarini!

Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
 
Huko chuo umefikaje?

Labda utuambie umeshindwa kuelewa huo uandishi wa kibeki tatu lakini kama umeweza kusoma naamini na kuelewa alichomaanisha umeweza.

Hataki tena usumbufu wako ana mtu wake anayempenda.
 
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

Ndio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!

Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
 
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Chuo kikuu chuo kikuu ajira hakuna wewe unawaza ujinga badala ya kupiga kitabu utoke na ujuzi wa maana na GPA tuje tukupe connection, Cha ajabu unawaza ujinga tu unadhani kuwa chuo kikuu ni sifa ukute chuo chenyewe ni St John 😭😭😭😭😭😭
 
Huko chuo umefikaje?

Labda utuambie umeshindwa kuelewa huo uandishi wa kibeki tatu lakini kama umeweza kusoma naamini na kuelewa alichomaanisha umeweza.

Hataki tena usumbufu wako ana mtu wake anayempenda.
 
Chuo kikuu chuo kikuu ajira hakuna wewe unawaza ujinga badala ya kupiga kitabu utoke na ujuzi wa maana na GPA tuje tukupe connection, Cha ajabu unawaza ujinga tu unadhani kuwa chuo kikuu ni sifa ukute chuo chenyewe ni St John 😭😭😭😭😭😭
Babe ugu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom